mgomo wa walimu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo wa walimu!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mgunda1990, Jul 31, 2012.

 1. mgunda1990

  mgunda1990 Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unafki na uwoga miongon mwa walimu,kupata suluhu itakua ni ndoto,mmeambiwa msiende kwenye vituo vya kaz,mnakwenda,na kura ya kuunga mgomo mlipiga bila shuruti...je kwa namna hii tutafika kwel??
   
 2. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,165
  Likes Received: 4,195
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kuwa na msimamo mmoja but serikali ina vibaraka wake miongoni mwa walimu wenyewe..kimsingi mfumo wa serikali yetu ndio kikwazo cha watu kudai haki zao....ili kufika yatupasa tujitolee..ili kizazi kijacho kisikute matatizo haya.
   
 3. I

  Idrisa Twaha New Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwalimu bado wanangoma na bado Wanaendelea kugoma ikiwemo kiongozi wa inchi jana kashidwa kutoa hitimisho kamili kuhusu mgomo huo
   
Loading...