Mgomo wa walimu

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
CWT tafadhali toeni tamko walimu tupotayari kugoma. Mkoba mbona hueleweki? Tumesaini fomu ya kukubali mgomo na mkasema tusubiri tangazo la siku ya kuanza mgomo sasa tunasikia kauli zisizo za kiungwana mara ni kikundi cha watu kilichoanzisha vuguvugu la mgomo si CWT, mara mgogoro haukufuata sheria. Kama Mkoba na baraza mnaogopa basi mjiuzuru maana mnatuchanganya walimu. Ikiwezekana tuanzishe nasi Jumuiya ya walimu maana tumechoka kuonewa. Natoa tahadhari kwa mahakama kuacha kufanyakazi kwa maelekezo ya CCM mnapoteza uhalali wa kuwa wasimamia haki katika taifa, kila mgomo mnasema haukufuata sheria. Walimu tuungane pamoja kutetea haki zetu, sisi ndiyo tunaweza kujitetea si bunge wala si mkoba. Majaliwa aache ubabaishaji chini ya CCM. KUWA BUNGENI NA KUWA NAIBU WAZIRI ASIJIONE YEYE NI KILA KITU. NAOMBA MNYIKA UTOE HOJA KUWA NAIBU WAZIRI ALILIDANGANYA BUNGE KWA KUSEMA HAKUNA MGOGORO NA CHAMA CHA WALIMU WAKTI UPO.
 
Hiv watatuchezea mpaka lini,yan sikuhiz ukienda kuoa ukijitambulisha wewe mwalimu wakwe wanatema mate,hadi inaonekana sisi ndo tulio feli,wakat kada nyingine wanaenda hadi kwa divishen 4 ya thelathini,
 
Hakuna kuogapa, wamizidi kuidharau hii fani mwaka huu hadi kieleweke!
 
kama hamjui cwt viongozi wake ni wakala wa serikali wote mnazani watafanya nini wanajibalaguza nao waonekane wanafanyakazi kama chama cha wafanyakazi madaktari hamuna chama hapo waondoeni hao kwanza.
 
kama hamjui cwt viongozi wake ni wakala wa serikali wote mnazani watafanya nini wanajibalaguza nao waonekane wanafanyakazi kama chama cha wafanyakazi madaktari hamuna chama hapo waondoeni hao kwanza.

walimu sio waoga,wana busara na akili,kila kada waliofeli na waliofaulu! Kwa mfano mm ni mwl
f4- div -i 16,
f6- div -ii 12 pcm,
university, gpa 3.4,
angalau,sijafaulu sana!
Tatizo tumekosa viongozi shupavu kama dr. Uli
 
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifa
 
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifa

Snitch,
mbona wamzonga mwenzio?
Yeye kaamua kutoa lake la moyoni.
Kama na wewe una lako ni heri kulimwaga hapa.
 
Last edited by a moderator:
Vinara wa migomo sasa wanaogopa kulimbokwa!!sasa unapotezwa...ndo picha linalokuja!!utaokotwa maiti...ukiwa beach tutaambiwa marehemu inasemekana alipandwa na maralia!!!
 
Maji ya moto hayachomi nyumba, twasubiri tuone kwa macho. Ngoma ya watoto haikeshi usiku.........Check ya wakubwa Ma-dr inakesha usiku na mchana.
 
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifa

mmh.......! kumbe vichaa vipo vya aina nyingi eeh! kwani mwl wa watu kakosea nini hadi umwite taahira? amesema ukweli kabisa kwamba kila field ina walio feli na walio faulu na kajitolea mfano yeye mwenyewe sasa utaahira wake unatoka wapi?

hivi nikikuthibitishia kuwa wewe ni kichaa wasubiri tu muda wa kwenda milembe utakataa? wewe ambaye siyo zuzu wa maarifa umefanya nini katika kazi yako?
 
Vinara wa migomo sasa wanaogopa kulimbokwa!!sasa unapotezwa...ndo picha linalokuja!!utaokotwa maiti...ukiwa beach tutaambiwa marehemu inasemekana alipandwa na maralia!!!

Wa-Tz kwa ninavyojua mimi hawajaamua tu.
Si unakumbuka ule mkutano uliofanyika Diamond Jubilee mwaka ule?
Mpaka Rais Mukoba wa CWT akarushiwa mawe?
Sema hv,
wanaosaliti ni hao hao viongozi wa CWT,
wameshapewa Pesa sasa wanabaki kushinikiza mgomo usitishe eti suala liko mbele linajadiliwa!
Nani kasema...!!?
Waache kufanya wa -Tz hamnazo.
 
Nilimwona Mukoba kwenye Tv juzi akitoa tamko, uso wake ulionesha ana wasiwasi mkubwa kupita kawaida
 
  • :yawn: Najuuutaa kuwa...........................................Ndo maana natafuta kazi.Woga tuko wengi kataa,kubali.

hebu tuweni wakweli tuache USHABIKI na fitna hivi wale wanaosema ualimu ni taaluma ya waliofeli wana hoja? Qualifications za kusoma ualimu ngazi ya cheti(ualimu wa Shule za msingi) ni Kuanzia division IV ya pts 26 hadi 29 na Sasa imepanda mwisho ni IV ya pts 27. Huku kwenye Sheria, kilimo ,na afya huwa wanachukua hadi div IV za pts 32 huko hamuoni? Mnatukana walimu ambao kimantiki wamefaulu kuliko Hao wenye four nnzito ambao hukimbilia fani zingine. Kwenye Suala la Diploma mwisho ni division three ya kidato CHA Sita wengi hukimbilia diploma sababu ya uwezo mdogo kuweza kujilipia private vyuo vikuu, wengine mnaopiga Kelele humu mlipata division three hizo hizo au chini ya hapo sema tu mlienda chuo kikuu simply because mliweza kuafford gharama za chuo. Kwa ngazi ya degree ndio msiseme walimu wengi wana GPA Nzuri tu sio ka nyie wenye vigentlemen afu Kelele nyiiingi. Kama mnatulaumu mtulaumu kwa kukosa umoja,woga wa kupoteza ajira ni hii ni sababu walimu wengi tumetoka katika familia maskini na za uwezo wa Kati, mtulaumu kwa Kuwa na viongozi legelege ka KINA Mkoba lakini msiseme sisi ni vilaza. Hiyo ni dharau na kashfa zinazosambazwa na serikali ili muone Kuwa hatustahili hayo tunayadai, na Sasa tumechoka tutasimama kidete hadi tujue hatma yetu... Fomu za mgomo tushajaza CWT Wanazingua ila haya yana mwisho
 
Back
Top Bottom