Wewe ni mpuuzi kweli angalia na lugha unayotumia,na usifikirie walimu wa sasa sio wa kipindi kile ukijuacho wewe kwa hyo acha kuropoka hovyo na kutumia kauli ya kejeli,hao unaowadharau ndio walikutoa matongotongo,kwa hyo chunga mdomo wako mchafu huo.Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
weeee thubutu!nyie walimu JIONDOENI KWENYE ZOEZI LA SENSA kuprove dhamira yenu
yesss! Nakubaliana na wewe.tatizo lenu nyie walimu hampo organised, jiondoeni kwenye zoezi la sensa kuprove dhamira yenu
kaka hapo umeenda mbali sana,,Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
wewe mzee labda haujitambui sawasawa,walimu wa sasa wana shule ya kueleweka kwani wengi wao wanajiendeleza kwa sasa na kama unazungumzia walimu waliosoma kama unavyosema wewe tuliosoma tu wengi kwa sasa lakn tatizo lipo kwa serikali hii ya CcM utake usitakeWaalimu na Elimu zao za kubumba bumba, wanadai maslahi. Rudini shule mkatengeneze vyeti, viwe na hadhi ya mshahara mnaodai.
unaongelea ****** ama. ustake nikakudharau kwa namna ya ajabu kijana. wewe kwangu hustahili hata kulisha nguruwe na bukini wangu. tena nikikuonyesha vyeti na kipato changu halali ninacholipwa kama mwl hata kufuta gari yangu asubuh huqualify. eti tunapewa fadhila wafikir sisi ni kama wewe? umezoea kubebwa bebwa hovyo. ndo maana huna marinda wewe.
Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
Mmm kumbe na wewe huwa unakasirika?
Kwa hiyo hela za Sensa hawazitaki si ndio?
wewe mzee labda haujitambui sawasawa,walimu wa sasa wana shule ya kueleweka kwani wengi wao wanajiendeleza kwa sasa na kama unazungumzia walimu waliosoma kama unavyosema wewe tuliosoma tu wengi kwa sasa lakn tatizo lipo kwa serikali hii ya CcM utake usitake