Mgomo wa Walimu: Serikali Haina Pesa?

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Walimu leo wanaanza mgomo rasmi nchi nzima wakiilazimisha serikali iwalipe malimbikizo yao..kuna tetesi kwamba serikali inafanya ujanja ujanja wa kuwazungusha kwa sababu haina pesa za kuwalipa...Jamani nch inaelekea wapi sasa?? chukulia mfano wa Wilaya ya Mvomero, malimbikizo yaliyoleletwa ili kuwalipa walimu ni shilingi Milioni 10!!! Lakini kuna mwalimu mmoja, nasisitiza, mmoja tu, yeye anadai jumla ya shilingi milioni 11!! CAG na Waziri wa Elimu wanedanganya sana kwenye hili, wawajibike!!
 
Duh.....

Saivi ni kibano tu. Hakuna kuongea wala kugoma.
 
Back
Top Bottom