Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Kutokana na mvutano wa muda mrefu kati ya Chama cha wakazi [ TPAWU na mwajiri ambaye ni Kampuni ya Sukari Kilombero, mwajiri huyo alianza na 2% huku chama kikihitaji 20%. Lakini mwajiri mpaka sasa amegomea nyongeza ya 6% na chama kikihitaji 10%.
Hivyo mgomo huo wa kisheria utakaodumu kwa siku7.
Hivyo mgomo huo wa kisheria utakaodumu kwa siku7.