Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 797
- 929
Naona watanzania wanajitambua, na wakiamua jambo linafanyika. Leo nimepita Mwanza mjini maduka yote yamefungwa utadhani labda ni public holiday, lakin siku hizi hata public holiday maduka yanafunguliwa.Sijui hii tuiiteje?
Kama serikali inashindwa kutatua matatizo kama haya sijui uchumi wa nchi hii unaelekea wapi!???
Kama serikali inashindwa kutatua matatizo kama haya sijui uchumi wa nchi hii unaelekea wapi!???