Mgomo wa wafanyabiashara mwanza mpaka kieleweke.

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
797
929
Naona watanzania wanajitambua, na wakiamua jambo linafanyika. Leo nimepita Mwanza mjini maduka yote yamefungwa utadhani labda ni public holiday, lakin siku hizi hata public holiday maduka yanafunguliwa.Sijui hii tuiiteje?
Kama serikali inashindwa kutatua matatizo kama haya sijui uchumi wa nchi hii unaelekea wapi!??? ImageUploadedByJamiiForums1388399951.293328.jpg
 
Kitakachofuata ni kuweke mabango milangoni yanayosema vibaya CCM.
 
Back
Top Bottom