Mgomo wa Simu Utafeli...

Si unajua malengo yake kuigombanisha serikali na wananchi sasa hivi roho yake imeburudika sana kuona kwamba taifa limeingia gharama hizi na wamarekani wanapeta.

Anajua kwa vile yeye yuko Marekani basi atanufaika na kodi watayalipa wamarekani nchini kwao.
Sujui kwanini Mwanakijiji anaichukia nchi iliyomlea - Tanzania!!!
 

Sasa wewe badala ya kuihimiza serikali ikusanye kodi zaidi unamsikiliza Mwanakijiji anayekushawishi uichukie kodi!

Hakuna maendeleo bila kodi.
 
Huu mdahalo unaonyesha wengi tunakula makombo mezani pa wauza unga.
Bila shaka tunasubiri wapigania uhuru wa South Afrika waje watukomboe.
Kwani utamu wa pingu na uzito wa minyoro ya utumwa wa kiuchumi ni hewala kwetu, Siku zote Uhuru wa kiuchumi taabu yake ni kutumia kila funda ya bongo zetu na kuishi bila dezo la mzungu wa unga.
 

Mgomo umefeli kwa sababu haukuwa na tija.

Tunalo Bunge na wabunge ambao tunaweza kuwaambia tu kuwa jambo fulani hatujaridhishwa nalo na wakakaa tena kulipitia, hakuna haja ya mtu kuzima simu. Mwanakijiji anadhani watanzania wajinga.

Mgomo UMEFELI...
 
Ooh,CCJ ni chama makini,na ndicho kitaeleta ukombozi wa kweli kwa watanzania,MY FEET.
 
ZeMarcopolo naimani unajuana na washkaji zako ambao wanafanya kazi telcom co. Waambie wakupe tasmin ya wateja waliozima cm siku hzo tajwa.
 
Last edited by a moderator:
ZeMarcopolo naimani unajuana na washkaji zako ambao wanafanya kazi telcom co. Waambie wakupe tasmin ya wateja waliozima cm siku hzo tajwa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahaha Mwanakijiji anaona AIBU kuingia JF siku hizi.
FaizaFoxy mwambie rafiki yako Mwanakijiji asikimbie mdundiko alioupigia mbiu...

Aaaah huku Mzee Manakijiji watu wamesha mstukia siku nyingi kuwa ni fataani.

Nilimwambia zamani sana kuwa anaonesha ni mtu mfupi sana na hana njia nyingine ya kufanya ila kujitafutia urefu katika maandiko, tatizo yanamzidisha ufupi kwani maandiko yake yote ni amma kuchochea, kupinga, ufataani na haridhishwi na chochote wafanyacho wenzake. Ana chuki ya ajabu, kikwetu huyu huitwa hasid.

Sijuwi mkewe anaishi nae vipi (kama anae, of which I doubt very much), maana huyu hakuna kinachomridhisha na ubavu hana.
 
Unafikiri kwa tumbo! Basi kama huyu Mzee Mwanakijiji ana nguvu ya kufanya yote haya uliyoyataja na mengi yamefanikiwa nadiriki kusema serikali iko honeymoon!

 
Unafikiri kwa tumbo! Basi kama huyu Mzee Mwanakijiji ana nguvu ya kufanya yote haya uliyoyataja na mengi yamefanikiwa nadiriki kusema serikali iko honeymoon!

Uhuni ni jambo ambalo kila mtu akimaua anaweza kufanya...
 
Hongera Mzee Mwanakijiji tulikuwa tumejiandaa hata kama kuna walamba miguu ya mafisadi wakiomba fadhila zao za kitambo kidogo tu na wengine wengi ambao hawajajua haki zao wanakukatisha tama sisi tupo nyuma yako. Kwa taarifa yao tu ni kwamba msimo wetu umewatetemesha serikali kilaza na wamefyata mkia wao. Wanarudisha hoja bungeni ikajadiliwe upya. Aibu gani kwa wabunge vibogoyo wa CCM waliopitisha kwa mbwembwe wakati wanaume wanaomboleza ARUSHA. Tuone sasa SIM CARD TAX-1000/= itapita? Mbele ya kijana mbishi Mnyika.
 
ZeMarcopolo ameiona hii?
 

We kweli una kichwa cha Bavicha. Bunge sio uwanja wa mpira. By the way, kumbe wabunge wanawake hawana thamani kwenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…