masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Pamoja na Mwanakijiji kuwa na weledi wa kuchambua mambo , hana uwezo wa kutoa solutions.
Mbaya zaidi solutions zake ni za "quick fix", bordering on naivety.
Kama nagekuwa close na yanayoendelea nchini pengine angejua kuwa ni kama mtu aliyewekwa kwenye chupa inayoelea baharini, anaona kila kitu lakini yeye mwenyewe hazami na maji wala hana uwezo wa kuamua kule anakoelekea.
Mgomo ni kwa awamu.umeingiaje humu JF....
Huyu jamaa sijui kwanini anaichukia Tazania kiasi hicho. Hajawahi kuhamasisha anything positive, yeye kila siku ni kuhamasisha migomo, vurugu, maandamano na vita...
Nimei-beep namba ya Lema, inaita, teh teh teh teh.
Unaanzisha mgomo wakati wewe upo Marekani.
Njoo bongo uongoze maandamano.
Mgomo ni kwa awamu.
Muda wa kubishana na wewe ndo sina!ninachojua jana nimezima cm masaa 24 ,na Leo nimezima voda.tulikuwa wa ngapi?sitaki kujua.toka mwanzo nilisema maadamu nimeamua kugoma siangalii tulikuwa wangapi!hata nikiwa peke yangu ni sawa tuu!mgomo unaendelea tu.acha makampuni ya cm yaseme,usiyasemee.Mgomo UMEFELI...
Muda wa kubishana na wewe ndo sina!ninachojua jana nimezima cm masaa 24 ,na Leo nimezima voda.tulikuwa wa ngapi?sitaki kujua.toka mwanzo nilisema maadamu nimeamua kugoma siangalii tulikuwa wangapi!hata nikiwa peke yangu ni sawa tuu!mgomo unaendelea tu.acha makampuni ya cm yaseme,usiyasemee.
Nimetoka kufanya mazungumzo na Dr Slaa muda sio mrefu kupitia namba yake ya voda. Kweli mgomo umefeli.
Mgomo ni kwa awamu.
Is this some hacking?Nani kakudanganya kuwa umefeli?
Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji
Mimi ingekuwa hiyi kodi itapekekwa kweli kwenye maendeleo nisingeona tatizo kuchangia hata kama ingekuwa elfu 10 kwa mwezi, tatizo hiyo kodi mpya ya line za simu ni kwaajili ya kampeni za ccm mwaka 2015 .... Tumechoka kuwaneemesha ccm na familia zao!
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme
...
Kama kuna mafanikio aliyopata Mwanakijiji labda kwenye huo mgomo hapo juu ambao unaendelea kutu cost sisi walala hoi mamilioni ya shilingi kila mwezi.
Huyu jamaa ni muhujumu uchumi mkubwa kabisa.
Kuna mambo najiuliza hivi amani uletwa na nini? Amani uletwa kwa usawa yani namaanisha kutokuwagandamiza wananchi hivi hiyo elfu moja wanayotaka kutoza wananchi ambao ni maskini na ndiyo walio wengi unategemea nini kamasiyo kufikia mahali nakukata tamaa na viongozi hakiya MUNGU kwa mwendo huu siombei vita ila yetu macho kitakachotokea sijui ndipo wewe ulioleta hii habari utakapojua huu ujumbe wako ulikuwa unasaporti ujinga. Haiwezekani utete upuuzi kama siyo mmoja wao walio weka hilo tozo
Yeye alifanikiwa haswa maana lengo lake lilikuwa kuiongezea serikali gharama za uzalishaji umeme ili wananchi wakose huduma hiyo muhimu na kuichukia serikali.
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.
Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.