V vstephen Member Joined Jan 14, 2011 Posts 11 Reaction score 3 Feb 3, 2012 #1 mgomo wa madktari serekali inatakiwa iwasikilize madaktari ili kuoka maisha ya wagonjwa
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Feb 3, 2012 #2 Unategemea serikali gani itakayowasikiliza madakatari wakati imedai bungeni kwamba hali nzuri na hakuna mgomo?
Unategemea serikali gani itakayowasikiliza madakatari wakati imedai bungeni kwamba hali nzuri na hakuna mgomo?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Feb 3, 2012 #3 nchi hii hakuna haki mpaka uandamane au ugome au utoe rushwa.kikifanyika kimojawapo watamaliza mgomo