singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Jamani leo nilikwenda kukata tiketi ubungo ya kwenda kigoma nilichokutana nacho kilinishangaza mabasi mengi yaendayo mikoani haswa ruti ndefu hayakati tiketi za safari siku ya ijumaa.
Nilipowauliza kulikoni nikahabarishwa kuwa matajiri wamewapigia sim wakata tiketi wao kuwa kwa kuhofia mgomo wa madereva unaotarajiwa kufanyika ijumaa wameona bora wasiwakatishe tiketi abira kwa kuhofia
madereva wao ambao wamedhamiria kuingi ktk mgomo hivyo watawasumbua abiria