Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

Dhaifu atakaa kimya mpaka mgomo upambe moto na watu wafe atoe salamu za rambi rambi.
 
Lila kitu siasa tu, kuwei wazalendo basi hata kidogo. Eti dr.s wagome halafu itakuwaje, anayeumia i pinda au wananchi? Acheni ushabiki hapa busaara inahitajika .mungu wetu wa mbingui wape mioyo miepesi madr. Wetu. Amen
 
Madaktari Mnyika kasema; tumefikishwa hapa na bunge dhaifu lililojaa magamba dhaifu yanaoongozwa na Rais dhaifu anayeongoza serikali dhaifu, iliyojaza mawaziri dhaifu waolioleta bajeti dhaifu na kuutetea kwa hoja dhaifu na mikakati dhaifu ya kumfukuza Mnyika anaowaambia ukweli kuwa wao wabunge ni dhaifu na Rais wao JK ni dhaifu.

Madaktara wanfaye nini?
 
Watanzania wote tunatakiwa kweli kumpokea YESU ili tuweze kuokoka na kuwa kama yeye! Ni wakati wa kumkubali kuwa YESU NI MWANA WA MUNGU NA DAMU YAKE INASAFISHA DHAMBI ZETU ZOTE, HIVYO TUTUBU NA KUMPOKEA YEYE TU NDIYE MKOMBOZI WETU.
 
Hongera Dk Ulimboka!

Nafuu hata nyie Madktari mmeona UDHAIFU wa serikali yetu!

Jk & Pinda na wabunge wao wote wa chichiem ni JANGA kwa Taifa letu!

Hawakubalikiiiiii!!

Tena huu ni wakati muafaka, hata kwa wafanyakazi wote wa serikali kugoma, ili hao wabunge na mawaziri waendeshe nchi. Sijui wamelogwa na nani hawa viongozi dhaifu.
 
Madaktari Mnyika kasema; tumefikishwa hapa na bunge dhaifu lililojaa magamba dhaifu yanaoongozwa na Rais dhaifu anayeongoza serikali dhaifu, iliyojaza mawaziri dhaifu waolioleta bajeti dhaifu na kuutetea kwa hoja dhaifu na mikakati dhaifu ya kumfukuza Mnyika anaowaambia ukweli kuwa wao wabunge ni dhaifu na Rais wao JK ni dhaifu.

Madaktara wanfaye nini?

Vijana wasanii wangetunga wimbo huu ungehit vibaya sana. Halafu kibwagizo eti udaktari ni wito lakini ubunge sio wito, uraisi sio witi, uwaziri sio wito.
 
Lila kitu siasa tu, kuwei wazalendo basi hata kidogo. Eti dr.s wagome halafu itakuwaje, anayeumia i pinda au wananchi? Acheni ushabiki hapa busaara inahitajika .mungu wetu wa mbingui wape mioyo miepesi madr. Wetu. Amen
kama kuna mungu atayesikiliza maombi yako basi 'mungu' huyo atakuwa ana ubia na rais dhaifu serikali insane na wabungu wapuuzi wa ccm(sifuti kauli)
 
Kuna kitu kipo nyuma ya huu mgomo. Kama na dai la kuwa na kima cha chini cha sh. 3m na lenyewe limo, basi siungi mkono. Mwanzoni niliunga mkono but now, no.
 
Serikali haina uwezo wa kutatua mambo magumu kama haya,utasemaje watafute njia nyingine na wasigome wakati hata walichonacho walikipata kwa kugoma
 
wananchi tuukatae huu upuuzi wa serikali kutudanganya kiasi hiki? serikali inashindwa nini kutekeleza ahadi zake kwa madaktari? tuuingie mitaani na mabango kudai haki yetu ya kuishi. 2015 ni kuwatosa tu. yeyeto anayeunga mkono srikali hii anaupungufu wa akili kama serikali yenyewe.
 
kama wanaanza mgomo kesho basi leo JK anakimbia nchi..atachukua ndege yake huyooo uingereza anamwachia pinda kasheshe huku...
 
Kuna kitu kipo nyuma ya huu mgomo. Kama na dai la kuwa na kima cha chini cha sh. 3m na lenyewe limo, basi siungi mkono. Mwanzoni niliunga mkono but now, no.

Hata ukiacha kuunga mkono, haisaidii kitu.
Km watu wanalipwa 10ml kwa kugonga meza na kulala,
wengne wanalipwa zaid ya 7M kwa kusimamia uchumi unaoporoka daily pale minara pacha,
wengne kwa kukusanya PAYE na kutobuni vyanzo vya mapato zaid ya pombe na sigara,
sidhani km hawa wenye dhamana ya afya na uzima wa watanzania hawastahili hizo 3.5 M na zaidi.
Na kwa madaktari kudai zaidi, hakuwazuii wengne wanaohisi wanastahili maslahi bora, kudai zaidi.
 
Nadhani wafanyakazi wote wa serikali wanahitaji maboresho ......kama nyumba na vinginevyo na siyo waalimu na madocta tu.
 
Back
Top Bottom