Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

Ulimboka na Kigwangala ni wale wale.

Ulimboka alikuwa Rais wa Medical stadent association na wakati huo huo Khamis Kigwangala alikuwa Rais Muhimbili Med stadent association. Na waliratibu mgomo mkubwa sana 2003.

Kazi kweli kweli

 
CCM hapo ndipo huniacha hoi badala ya kushughulikia issue wanamshughulikia mtu,halafu ni wepesi kushughulikia vidagaa,wale mapapa wanajifanya hamunazo,wakati mwingine inabidi dhamira yangu inisute nianze kumuona EL pamoja na mawaa yake kama ndie anaweza kuwashikisha adabu wanafiki ndani ya CCM na serikali yake kwa ujumla pamoja.Hawa akina Malima wana tija gani kwa wananchi?angalia hata jimbo lake ambalo lipo kama km 40 kutoka Dar lipo taabani kihuduma.Kwenye mambo ya msingi huleta siasa,wanakuwa kama Ze Komedy
 
Back
Top Bottom