kizazi cha kata kei,hivi unajua kwamba hospitali ya kwanza kulaza mgonjwa ilikuwa wapi?hivi unajua huduma za kibenki zilianza wapi?hivi unajua hizo elimu za sayansi munazojivunia chimbuko lake?unamjua mwanzilishi wa hesabu za aljebra?hakuna unachojua zaidi ya kuhubiri mgawanyiko na chuki za kidini?umeshawahi kujiuliza kwa nini wayahudi mpaka leo wanamuona yesu kama babu wa loliondo?