Mgomo wa kizushi Mabibo Hostel

Mgomo wa kizushi Mabibo Hostel

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
218
Reaction score
121
Bandugu nimeshuhudia faida ya Mgomo usiku wa leo ..masaa mawili kabla ya ku share nanyi habari hii...tangu juzi saa nne eno la mabibo hostel na na maeneo jirani yali gubikwa na katizo la umeme ambalo binafsi sikusikia taarifa ya katizo,baada ya wanafunzi kuona tatizo linaendelea kudumu ,humu maeneo ya karibu kama riverside na kwingineko kukuonekana kuna umeme..muda wa usiku kama saa nne siku ya jumapili vijana waalisikika kwa mbali wakianza maandamano kwa nyimbo za kusisitiza kuwa hawalali mpaka umeme uje....wakiwa katika makundi wakielekea eneo la mitambo ya kuzalisha umeme Tanesco Ubungo...waliendelea na nyimbo zao....lakini baada ya muda mfupi kidogo..walisikika wakirudi kwa mbio nyingi ma bwenini huku milio ya risasi ...ikirindima....cha kufurahisha ni kwamba kutokana na ujuzi wao mdogo wa JKT waliweza kutambua kuwa eti zile risasi hazikua za moto ,bali zilikua blankoo...NILIPO GUGUNDUA KUA MGOMO UNA MANUFAA HASA KATIKA KUDAI HAKI...muda si mrefu sana Umeme ulirudi..vijana wakashangilia ..na kupongezana na kurudi kujisomea kujiandaa na mitihani inay anza wiki chache zijazo....swali JEE Tanesco walisubiri wanafunzi wagome ndio wawashe umeme? au je...matengenezo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili nzima bila taarifa yalikamilika baada ya vijana kuaanzisha maandamano yasiyo rasmi? Jee ..wandugu hatuoni kua kuna vitu tunahitajika tuvidai kwa staili hii ili mambo yaende sawa au serikali iwe sikivu...tujuzane wana jamvi...
 
Back
Top Bottom