Waungwana niambieni!! Kesho tumepigwa mkwala hakuna kugoma na kuanzia kesho hiyohiyo tunategemea traffic JAM kubwa kuwahi kutokea hapa DSM.
Sasa kama nimekwama kwenye JAM ikapelekea kuingia ofisini saa 5 nikahusishwa na mgomo itakuwaje hapo! Nisaidieni wajameni!
Jibu analo jk mwenyewe na watendaji wake, kwanza kwanini walete mkutano huo huku dar wakati miundombinu mibovu! kwanini wasingepeleka AR? ushauri hizi siku za mkutano ziwe siku za mapumziko tu ndo nafuu yake,
Wa-TZ tumetengenezewa ka-holiday...mpaka Jumatatu...