Mgomo mkubwa wa walimu Tz

Hii tasnia ualimu ni kama imelaaniwa vile..yani mwalimu ata akiwa na hela vipi,au abadilishe kazi apate ya maana bado utamkuta amekaa kiualimu ualimu tu..kachokaje!
 
Lakini wa FEZA Girls wenyewe hawajagoma!

waulize fedha girls wanalipwa sh ngap, load ya vipindi, malipo kwa extra curriculum activities, mazingira ya kufundishia n.k

uwalinganishe na walimu wa hapa

SHULE.jpg feza girls.jpg
 
tushachoka na mgomo baridi Sa tunataka real strike, wanaoathirika zaidi kwa Sasa ni watoto aw maskini wenzetu aw kwao hawaji huku katani ...ila dah tuna enjoy sana tunaamka asubuhi kwenda kupiga story tutaanza na za SIASA,soka na udaku na siku hizi mitandao inatupa kampani wenye laptop Sawa wenye I pad ndani YAANI tunasema threads jamii forums na kudiscus watu wamecoment nini, kwa MASLAHI haya mi nao na Sawa tu nikiwa na mzuka ndo naenda class kuzuga otherwise ni story na Misele na pikipiki zetu za mikopo wadogo zetu tunawapa class home
 
Back
Top Bottom