nishaachana nao mkuu!
Mukandala nahisi amegoma kuja, sasa hivi wanaharakati wanatoa nasaha zao hapa.
Mwanaharakati wa kike, Hellen Mushi is on session...
Poleni sana Watoto wa nchi hii mnaosoma katika mazingira magumu huku watoto wa Magogo wakiwa nje ya nchi, Mungu atawasaidia. Naomba tupatie update hali ikoje kwa sasa? Mukandala ameshuka na hao wapambe wake. Msimamo ni upi?
Ni kuhusu haki ya wanafunzi waliofukuzwa na hatma ya fedha ya kujikimu.
Chezo limeanza mida ya saa 4 hivi, FFU wametanda eneo la chuo tayari kuwapiga mabomu wanafunzi.
Source: niko eneo la tukio