Sasa nyie madogo mkikimbizwa tena hovyo hovyo kama last time tusiwaone humu na ma-issue yenu ya mgomo.
juzi mmesema mnafanya mazoezi na kkupeana mbinu za kupambana na alshabaab aka ffu kama wakija kuwaletea ngebe.
Sasa tunangoja, mkileta fujo bila sababu za msingi mtakuwa mmejipunguzia heshima mbele ya jamii,
Ila ffu wakija kuwapiga kwasababu mmeamua kukusanyika ndani ya chuo ku-discuss maslahi na kero, basi watungueni hao.