Mgomo Madaktari Kenya wamalizika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Habari Njema kwa wananchi wa Kenya baada ya mgomo wa madaktari nchini humo uliodumu kwa takribani siku mia moja kumalizika leo.
 
Huu mgomo haungekuwa mrefu hivi, ila Wakenya kujitia kujua mambo zaidi ya vichwa vyao, yaani mahakama, wanasiasa, madaktari, wizara ya Afya na wizara ya Wafanyi kazi na SRC kila mtu anafafanua katiba kivyake!! Hili jambo lichunguzwe ili kuepuka hali kama hii siku sijazo
 
Back
Top Bottom