Mgomo(maandamano) Udsm.

Tupeni update nyie, au mmegwaya? Nazikumbuka enzi za Owawa, Machibya na Silinde, ilikuwa mwendo mdundo.
 
Tusikubari haya mambo yazimwe kiurahisi mpaka madai yetu yakubarike.Hatuwezi kusoma kwa shida za kupiga pasi ndefu njaa kali huku wizara imetengewa mabilioni ya ela kwa ajiri ya ziara na posho zisizokuwa na tija,WATOE MIKOPO AU WARUDISHE UTARATIBU WA ZAMANI.OVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…