Mgomo Kariakoo, maduka yafungwa

Mgomo Kariakoo, maduka yafungwa

Nasikia kwa sababu ya urasimu bandarini, utokaji wa makontena umekuwa haueleweki bandarini.

Kuna baadhi ya wafanyabiashara toka mwezi wa kumi na mbili hawajatoa makontena yao. Hivyo sokoni hakuna mizigo mipya

Pili hakuna bei rasmi ya kulipia mizigo yaani wanaropoka tu bila kujali umebeba mzigo gani.

Yaani TRA ni kama wanawakomoa wafanyabiashara.
Hapa kuna ukweli kabisa, bandarini kuna shida kidogo. Mie mzigo wangu umekaa miezi miwili kwasababu za kijinga kabisa. Kodi yote nimelipa inavyotakiwa ila viprocedure vya kipuuzi vinakuingiza kwenye hasara. Naami hizi ni hatua za mpito ila kama watafanya ndio za kudumu kutakuwa na shida kubwa.
 
Kuna genge la Watu wa kaskazini waliozoea kutokulipa kodi kwenye awamu zilizopita ndio waratibu wa hizi migomo. ukiangalia kwa undani utagundua ni Watu wachache wasiotaka kulipa kodi .na hili genge huwatisha na kuwalazimisha wafanyabiashara wengine kufunga maduka Yao unaweza ukafanyiwa vurugu ukapoteza Mali Yako ukifungua duka lako.serekali I deal na Hawa wahuni wachache ipasavyo!
 
Hawa wanafikiria kuwa awamu hii ni ya Mkwere, wamekosea ,nyakati hizi sio za kukwepa kodi. Yatafungwa maduka yote na ikibidi watafilisiwa. Wanaona shida gani kutumia hizo mashine ambazo wanapewa bure? hahaha,ngoja watakosa hizo biashara soon.
Wadanganyeni wajinga lakni watu makini wanajua ccm ni ileile na watu wake ni walewale na mawazo yao ni yaleyale hawatakaa wabadilike hasira za wananchi ndo zimewafanya kujitutumua
 
HAKUNA MKURYA MBUMBUMBU! MKURYA MWENYE AKILI HAWEZI FUNGA DUKA KWA KUFUATA MKUMBO! MBONA DUKA LA DINGI LIKO WAZI! HATUNA MIHEMKO KAMA YA LUMUMBA!
NANI KAKUULIZIA KABILA YAKO WEWE MBONA UTULIVU ZERO.
 
Ngoja tusikie nini kinaendelea maanake mgomo wa kwanza ulikuwa EFD bei ghali, sasa hivi si wanapewa bure? Tusikie tatizo nini. EFD zinawa-expose hamna anaeipenda hata mmoja!
Bure? Kakudanganya nani? Hukumsikia kamishna wa TRA amesema hazitatolewa bure tena isipokua kwa wafanyabiashara wadogo?
 
Hawa wanafikiria kuwa awamu hii ni ya Mkwere, wamekosea ,nyakati hizi sio za kukwepa kodi. Yatafungwa maduka yote na ikibidi watafilisiwa. Wanaona shida gani kutumia hizo mashine ambazo wanapewa bure? hahaha,ngoja watakosa hizo biashara soon.
Nani kawapa mashine bure?
Wewe unaishi au upo mweZini nini?
 
Bure? Kakudanganya nani? Hukumsikia kamishna wa TRA amesema hazitatolewa bure tena isipokua kwa wafanyabiashara wadogo?
Ok lakini hio hela inakuwa inarudishwa kwenye makato yako ya kodi,kwahio technically ni bure.
 
Hawa wanafikiria kuwa awamu hii ni ya Mkwere, wamekosea ,nyakati hizi sio za kukwepa kodi. Yatafungwa maduka yote na ikibidi watafilisiwa. Wanaona shida gani kutumia hizo mashine ambazo wanapewa bure? hahaha,ngoja watakosa hizo biashara soon.
Walishapewa hizo machine au?
 
Kwa DAR maandamano ya migomo ya kimkumbo yatakuwa mengi sana kama JPM hatawakazia.
 
Ngoja tusikie nini kinaendelea maanake mgomo wa kwanza ulikuwa EFD bei ghali, sasa hivi si wanapewa bure? Tusikie tatizo nini. EFD zinawa-expose hamna anaeipenda hata mmoja!
EFD za bure wewe umezionza wapi?biashara ya hizo EFD iko pale pale na mkasi ni ule ule
 
ila jaman zile mashine zina kwangua sana.kwann serikali.isijitegemee mpaka iwabane wananch wake kiasi hcho?yaan kodi na faida nusu kwa nusu.wawe wanakadiria tu kodi.
 
Back
Top Bottom