Mgomo Chuo cha Usimamizi wa Fedha - IFM

Mgomo Chuo cha Usimamizi wa Fedha - IFM

LogicWanderer

New Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
4
Reaction score
2
Mgomo wa wanafunzi wa IFM wakishinikiza Uongozi wa Chuo kuruhusu wanafunzi kupewa ID za mitihani, kusogeza mbele ratiba ya mitihani na kuondoa usumbufu unaotolewa kwa wanafunzi katika utolewaji wa huduma hapo chuoni... Pia wakihitaji Uongozi usikilize matatizo yao mengi yanayowakabili wanafunzi hao...!
 
Back
Top Bottom