Kilahunja JF-Expert Member Dec 19, 2011 1,502 341 Jul 12, 2012 #1 Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni! Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa.
Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni! Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa.
Kilahunja JF-Expert Member Dec 19, 2011 1,502 341 Jul 12, 2012 Thread starter #3 Mtanzanika said: ahsante sana! Click to expand... asante kushukuru.
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jul 13, 2012 #4 Hahaha nlidhani wakigoma wamegoma,kumbe huduma hamna lakin ushauri buree
Kilahunja JF-Expert Member Dec 19, 2011 1,502 341 Jul 13, 2012 Thread starter #6 farkhina said: Hahaha nlidhani wakigoma wamegoma,kumbe huduma hamna lakin ushauri buree Click to expand... dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo.
farkhina said: Hahaha nlidhani wakigoma wamegoma,kumbe huduma hamna lakin ushauri buree Click to expand... dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo.
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Jul 13, 2012 #7 astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jul 14, 2012 #8 Kilahunja said: dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo. Click to expand... hahahaha ndo nyumbani nini?
Kilahunja said: dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo. Click to expand... hahahaha ndo nyumbani nini?
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jul 14, 2012 #9 Kilahunja said: dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo. Click to expand... hahahaha sijakutaja wewe lol kwani nawe wa kigoma?
Kilahunja said: dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo. Click to expand... hahahaha sijakutaja wewe lol kwani nawe wa kigoma?
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jul 14, 2012 #10 WAHEED SUDAY said: astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu Click to expand... anamuua kabisa
WAHEED SUDAY said: astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu Click to expand... anamuua kabisa
N Ninliy Senior Member Jan 8, 2012 132 12 Jul 14, 2012 #11 WAHEED SUDAY said: astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu Click to expand... waheed mambo vp?upo?
WAHEED SUDAY said: astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu Click to expand... waheed mambo vp?upo?
Ralphryder JF-Expert Member Nov 16, 2011 4,934 1,294 Jul 14, 2012 #12 Kilahunja said: Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni! Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa. Click to expand... Teh.teh,teh duh! we nomaaa! yani nimecheka ile mbaya!
Kilahunja said: Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni! Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa. Click to expand... Teh.teh,teh duh! we nomaaa! yani nimecheka ile mbaya!
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Jul 14, 2012 #13 Ninliy said: waheed mambo vp?upo? Click to expand... Nipo mkuu, mambo niaje arifu