Mgombea wa Urais wetu kutoka TLP

Mgombea wa Urais wetu kutoka TLP

Maigizo yanazidi kuborongwa kama bongo movie. Director hana experience.

Mgombea amesawajika kweRi kweRi, anahitaji maombi na kunyweshwa uji angalau sura ipate nuru.
 
Ni kwanini CCM inafanya mambo ya namna hii?nchi nzima imemkataa Samia kwann hawalioni hili?ni kiburi cha aina gani hiki?
 
Huu mzaa mnaofanya CCM mtatumbua usaha wala sio mbali
 
Back
Top Bottom