Mgombea wa urais adaiwa kutaka kujirusha kwenye ghorofa kenya.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
e1867a709a0cf19807c1e75d298e27d4.jpg


Watu wanasema uzito wa mkungu ni siri ya mgomba.
Lakini mtu ambaye kama angekuwa na roho nyepesi ya kutaka kujiua basi lowassa angekuwa amejiua zamani sana.

Na ninapenda kuwashauri wale wote ambao wapo kwenye siasa waige mfano wa huyu mzee. Kwasababu siasa kuna kupata na kupoteza.
ba5d57c9d51918d736ed88680ff8e220.jpg
 
Huyo jamaa wa kenya ni bomu.Mgombea urais hatakiwi kuwa na roho nyepesi hivyo.Kuna uwezekano wa mtu wa aina hiyo akajinyonga ikulu mambo yakimchachia kwenye siasa!
 
Mzee Lowassa ni mtu mwenye hekima na busara sana, kwa hapa Tanzania hakuna mfano wake
Lowassa angekuwa anamoyo mwepesi angekuwa akiziona hizi nyomi harafu wanakuja kumuambia ameshindwa angekuwa anazimia mara mbili mbili.
71dfb3c5afffad4298a8bee7547021e3.jpg
189c66a086553299a87e32b120ac21f0.jpg
fc44b03f65d314ac4ceec2910837e828.jpg
 
Lowassa angekuwa anamoyo mwepesi angekuwa akiziona hizi nyomi harafu wanakuja kumuambia ameshindwa angekuwa anazimia mara mbili mbili.
71dfb3c5afffad4298a8bee7547021e3.jpg
189c66a086553299a87e32b120ac21f0.jpg
fc44b03f65d314ac4ceec2910837e828.jpg
Piga ua garagaza,, huyu mzee hakushindwa huo uchaguzi,, kale kazee kalimfanyia umafia tu! Sijui kwa nini Mungu bado anakalinda haka ka-nguchiro!!
 
Back
Top Bottom