Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

ACT mmechukua form za urais bila kuwa na mgombea
Afadhali ACT imechukua inatafuta mgombea, nyinyi mliparurana mkaona hamna mgombea mkakimbilia CCM kuomba mgombea! Mtaipata manake mgombea wenu hajui dira wala dhamira ya CHADEMA. Pia hajui kabisa kama CHADEMA ni chama cha kiliberali ama kihafidhina ama cha mrengo wa shoto ama mrengo wa kulia. Mliyemuandaa na kumpeleka ughaibuni kujifunza sera za nje mkamtupa baada ya kupewa vipande vya fedha!
 
Chadema hawana mchezo kwa mtu yeyote aliyepita kwa kutoa rushwa hata ya sh.500 na kushinda ktk uchaguzi lazima akatwe.Vp kwa upande wa pili?
Mkuu weka akiba ya maneno manake hapa inashambulia utosini mwa CHADEMA! Mgombea wenu baada ya kutoa vipande vya fedha alipitishwa bila kupingwa!
 
Back
Top Bottom