Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

Upo tena na huku kamanda angalia usipasuke msamba uzi wako wa Zitto umeucha umekumbilia huku.

Teh teh teh

Mkuu Ritz nina jiamini kabisa na hakuna nilipo telekeza uzi
 
Makamanda kumekucha tena nilisema kukatwa kubaya kama Lowassa kakataa kukatwa nani atakubali.
 
Hivi hapo nimekosea wapi mkuu?kumtakia kila la kheri ndio ubaya wangu na kunihukumu kuwa ubongo wangu umebanguliwa?

Huyu motochini anaitaji kuonwa na dactari wa akili.anadalili zote za kuwa sadist.
 
muulize aliongoza kwa kura ngapi,na kama amekatwa basi amestahili maana hana msimamo
 
Mkuu umekosewa kitu gani hadi unamwambia hivyo mwenzio,
Sijamwambia vibaya ispokuwa wanakera wanataka kila jambo hum liwe kuisifia cdm yao inaongozwa na miungu! kama upuzi wakajingajinga si wote, siasa nikukosoana na kupongezena sasa ukikosoa unapewa majina ya kijingajinga kama walivyo wajinga wao
 
Hahahhahahhaahaa kukatwa kunauma aiseeeila kama ana akili angebaki Chadema na sio kwenda huko wala kule
Mwache apime uwezo wake mbona mahanga alikatwa akahama mwache naye ajaribu Lowasa mwenyewe alikatwa.
 
Makamanda kumekucha tena nilisema kukatwa kubaya kama Lowassa kakataa kukatwa nani atakubali.
Ha ha ha ha haha..ritz umenicheksha sana kweli kukatwa kubaya kama lowasa aligoma kukatwa hakuna atakubali akatwe kamwe.
 
Baada ya jina lake kukatwa na vikao vya juu aliyekuwa Mgombea wa Chadema Jimbo la Mufindi Kaskazini Bwana Utamwa Asheri amejiunga na ACT mchana huu. Amechukua fomuj kwa chama hicha tayari kwa kupambana na Mh Mgimwa wa CCM. Amechukua hatua hiyo baada ya jina lake kukatwa wakati aliongoza kura za maoni.
Nasikia na viongozi makao makuu ya ACT wanatembea ofisi hadi ofisi na briefcase yenye fomu ya mgombea wa urais wakiomba mtu wa kugombea urais. Jana walikuwa kwa Kitila ikashindikana leo walikuwa kwa mtu mmoja mzito nae imeshindakana nasikia kesho wanamzukia mnene mwingine.
 
Hivi hapo nimekosea wapi mkuu?kumtakia kila la kheri ndio ubaya wangu na kunihukumu kuwa ubongo wangu umebanguliwa?

Achana na huyo atakuwa ameweka auto reply maana ulichokiandika wewe na jibu lake ni mbingu na nchi
 
Chadema hawana mchezo kwa mtu yeyote aliyepita kwa kutoa rushwa hata ya sh.500 na kushinda ktk uchaguzi lazima akatwe.Vp kwa upande wa pili?
Mkuu usemayo ni kweli? Mbona yule aliyekatwa kwa tuhuma za kuhonga NEC na wapanda pikipiki amepata hifadhi na kupokelewa kama mfalme ndani ya CHADEMA?
 
Hahah....Utamwa alishawahi kukatwa CCM akaenda CDM amekatwa huko kaenda ACT duu kazi ipo
 
Mkuu usemayo ni kweli? Mbona yule aliyekatwa kwa tuhuma za kuhonga NEC na wapanda pikipiki amepata hifadhi na kupokelewa kama mfalme ndani ya CHADEMA?
ACT mmechukua form za urais bila kuwa na mgombea
 
Back
Top Bottom