livingafrican
Member
- Jun 11, 2009
- 58
- 19
Baada ya jina lake kukatwa na vikao vya juu aliyekuwa Mgombea wa Chadema Jimbo la Mufindi Kaskazini Bwana Utamwa Asheri amejiunga na ACT mchana huu. Amechukua fomuj kwa chama hicha tayari kwa kupambana na Mh Mgimwa wa CCM. Amechukua hatua hiyo baada ya jina lake kukatwa wakati aliongoza kura za maoni.