Mgombea wa CHADEMA jimbo la Chalinze awekewa Pingamizi

Mgombea wa CHADEMA jimbo la Chalinze awekewa Pingamizi

Pingamizi la kitoto , ukisoma fomu za wagombea ni kuwa ni jukumu la msimamizi wa uchaguzi kuhakikisha kuwa wanaomdhamini mgombea ni wa Jimbo husika na huwa anaweka saini yake kuwa ni wadhamini halali, ngoja niweke ya Ritz muone kiapo cha msimamizi.
 
CDM ndio zenu mara zote mnajifanya wajuaji kumbe hamna lolote safari hii mtakoma na kierukopta chenu cha umaskini,kwambali mnaanza kufia kalenga,tuonane j3 humu.
 
Hawa cafu ni wachumia tumbo wamekubali kulamba miguu ya riz1,mtoto wa dhaifu la magogoni.
Dah! Ama kweli hawa cuf ni c.c .m b!

kwanini usiwalaumu chadema kwa uzembe uliopelekea mgombea wao kuwasilisha taarifa zenye mapungufu unawalaumu cuf wanaotetea sheria na kanuni kufuatwa?
 
Hivi nani ni dhaifu kama babu yenu slaa,anaamua kadri anavyoambiwa na kimada chake.ccm hayupo wakuing'oa kwa siasa nyepesinyepesi.
 
i dont see any intelligency with this comment of yours

a0c4824059f67abc18188a3627e3e875.jpg





Why do you comment?
 
Nasikia pia ana uraia wa uingereza...

Ogopa hela ya mjane wewe! MUNGU mwenyewe ameagiza tusiwadhulumu wajane na yatima vinginevyo atawafanya na watoto wenu wawe yatima! Sasa wewe mke wa Cameron ilikuwaje ukalamba pesa ya mjane? RUDISHAAAAAA!
 
ndoto zingine nzuri sana.............................................................
 
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF DHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA13.03.2014

Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo. 1. Ndugu MATHAYO. M. TORONGEY amejaza Taarifa za uongo kwenye Fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA.
Sio kweli, kwa sababu hajaweka vielelezo vya yeye kufanya hiyo kazi.
Hajulikani anafanya kazi gani.
2. Ndugu MATHAYO .M. TORONGEY amejaza katika fomu kwamba anajua kusoma na kuandika Kiswahili na kiingereza.
Taarifa hizi ni za uongo, mgombea huyu hajui kusoma wala

kuandika Kiswahili wala kiingereza, na kwamba amedanganya na amepoteza sifa za kuwa mgombea. 3. Ndugu MATHAYO .M.TORONGEY amedanganya kwa kughushi/kufoji sahihi za wadhamini,ambao amewaorodhesha kwenye fomu ya kuomba kuthibitishwa kuwa mgombea.
Ambapo katika fomu hizo wadhamini wote sahihi zao zimefojiwa na hazifanani na zile zilizokuwepo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kwamba sahihi zote hizi zimesainiwa na mtu mmoja ambaye sio muhusika.
Hivyo anapoteza sifa ya kuendelea kuwa mgombea.
4. Ndugu MATHAYO.M.TORONGEY ameshindwa kutimiza mahitaji ya kisheria ya kuwa na wadhamini wasiopungua 25, badala yake amedhaminiwa na wadhamini 28 ambao kati yao wadhamini 7 sio wapiga kura halali wa jimbo la CHALINZE, na kwamba Taarifa zao na namba zilizojazwa hazifanani.
Hivyo anabakiwa na wadhamini halali 21 ambao kisheria hawatoshi kutimiza matakwa ya kisheria.
Majina ya wadhamini hao ambao hawakidhi matakwa ya kisheria na namba zao ni JINA LA MDHAMINI NAMBA YA KADI KURA 1. HABIBU ALLY SAIDI * 16886275*2. MOHAMMED RAMADHANI *30376567*3. ABDULKADIR ALLY *49264905*4. SHABANI SULEYMAN *16984045*5. JUMA MRISHO *48759563*6. RAJABU ALLY *16872368*7. MANENO MIRAJI *16872059*
Wananchi wenye namba na majina hayo hapo juu waliojazwa kama wadhamini kuanzia namba 1 hadi 7 kwenye fomu yake hawana sifa za kupiga kura kwenye maeneo ambayo wamejazwa wanatokea.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba idadi halali ya wadhamini wanaobaki ukiwaondoa hao saba watabaki 21, hawakizi vigezo vya kuwa wadhamini.
5. Ndugu MATHAYO.M.TORONGEY amedanganya Uraia wake, na kwamba yeye si Mtanzania wa kuzaliwa ndio maana hana vielelezo halali vinavyohusu uraia wake. Hivyo anakosa sifa ya kuwa mgombea.
Hivyo ninaomba Tume ya Uchaguzi kutengua uteuzi wa mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ndugu MATHAYO.M.TORONGEY kwa kuwa anakosa sifa za yeye kuendelea kuwa mgombea.
Wako katika ujenzi wa Taifa
FABIAN LEONARD
SKAUKI ……………………………………………………..
MGOMBEA UBUNGE
JIMBO LA CHALINZE.
THE CIVIC UNITED FRONT
+255 786 189 070/+255 754 849 450
 
Ridhawani subili moto uwake, umeanza kuweweseka mapema hivi, tulia upewe dozi muuza unga wewe. Ccm hata mkishirikiana na mke wenu cuf, hamtoki, lazima mkae.
 
Tatizo liko wapi? Chadema walipopeleka pingamizi dhidi ya mgimwa junior kule kalenga walikua wametumwa na nani? Au walikua wanamtumikia nani? Acheni ushabiki wa kijinga. Hizo double standards noumaaa.
 
Nasikia pia ana uraia wa uingereza...


Efavirenz can cause serious, life-threatening side effects. These include serious psychiatric problems and liver problems.
Contact your health care provider right away if you have any of the following symptoms that may signal psychiatric problems:
· Severe depression.
· Suicidal thoughts.
· Strange thoughts.
· Angry behavior.
 
Hao siyo CUF, bali ni Ridhiwani na chama chake wamepitia mlango wa nyuma kwa kuhofia kushindwa.

Mkuu unaweweseka,iweje tena iwe Ridhiwani nawe unaona sheria za Uchaguzi na mrufani ni Bw. Skauki hebu tumia sehemu ndogo tu ya akili yako kutanabahi muelekeo wa jambo. Tatizo mnakurupuka sana mnapiga viroba kisha mnaingia kujaza form za mgombea. Na kama ni kweli hii itakua aibu ya karne au mmeweka nusu nusu ili msishiriki Uchaguzi Waungwana?
 
CDM ndio zenu mara zote mnajifanya wajuaji kumbe hamna lolote safari hii mtakoma na kierukopta chenu cha umaskini,kwambali mnaanza kufia kalenga,tuonane j3 humu.

Ccm wanayo hata moja ?,ccm wanakimbuka kuiba hela B.O.T lakn wameshindwa kufikiria kununua hata chopa moja,c bora chadema ambao tuna chopa ya kimaskini lakn ccm hawana hata moja
 
Back
Top Bottom