Elections 2015 Mgombea urais wa CCM, John Magufuli ni batili


Hivi siasa zikiisha utafanya kazi gani?, mfuate Gwajima mshauri wa rais na wamiliki wa benki Tanzania. Mkiitwa lofa mkubali.
 
 

Mkuu, hii kitu sisiemu kamwe hawata taka kuisikia
 
Ni kweli makufuri hakupata baraka kutoka ccm alichaguliwa kwa bahati mbaya tu
 

Umeambiwa mgombea wa CCM halafu unajadili jina la mleta maada na mgombea wa UKAWA,Hivi shule huwa mnaenda kusomea ujinga? cc.Faizafoxy
 
Leo nimemuuliza mwabaCCM mmoja hayo mabadiliko mnayotaka ni yapi? ameshindwa kunijibu, kumbe CCM ni copy and paste sera za UKAWA bila hata kuelewa maana yake.
 
Wamajungu mmejaa kweli, Arusha ipi hiyo, huku chadema hapigi kampeni wanapita kujitambulisha, hiyo minong'ono yako ni uzushi
 
Mbona ikulu wamekaa walanguzi wengi tuu huyu atashindwa nn?
 
Hahaha orodha ya maovu ya ccm;
Epa
Kiwira
Tokomeza...wananchi
Nyamongo
Deci...wamekula
Endelea...
 
Humjui unayemkejeli kima wewe kaa kimya.
Unadhani huyo ni Yericko?

Ungekuwa na "busara, usingetumia neno hilo "kima" kwa binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Leo hii unamwambia mwenzako "kima" ukifika nyumbani kwako mtu wa kwanza kukupokea mwambie "kima",ukikataa kumwambia itakurudia wewe mwenyewe ndani ya nafsi yako. Wazee wa Gwajima bwana kazi kweli.
 
Humjui unayemkejeli kima wewe kaa kimya.
Unadhani huyo ni Yericko?

Dikteta wa Uganda ndio alikuwa anatukana binadamu "kima",leo hii "mitanzania"yenye uchu inatukana mwananchi mwenzao. Hilo tusi "ni laana kwako na washabiki unao washabikia", Kuwa mpole kama njiwa na mwenye akili kama nyoka. Usikubali "uovu" ukutawale. Kama umehongwa na Gwajima mshauri kapotea. Tanzania sio ya kushauriwa na Gwajima.
 
Siasa zitakwisha sasa hivi. Tazama hao watu wanavyolipana mishahara like there is no tomorrow.
 
Nilivyosema ni kwamba hizi habari zimenifikia four days ago. Kwamba kule Dodoma Kamati ya Usalama iliwachagua Augustine Mahiga,Augustine Ramadhani,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu. Halafu Mwenyekiti wa CCM,akayapuuzia yale majina. Akabakiza jina moja tu la Asha Rose,labda kwa vile huyu ni Waziri wa Sheria,kumuondoa ingekuwa very tricky. Jakaya Kikwete akaja na listi mpya. Kama hivi ndivyo ilivyotokea Dodoma,kwa nini hizi habari tunazipata barabarani,kwa nini haziandikwi katika gazeti? Kwa hiyo Mwenyekiti amefanya udikteta ambao ni fantastic,kuwapuuzia washauri ambao amewachagua mwenyewe,handpicked by him,Katiba ya aina gani,mahali popote duniani inaweza kuruhusu jambo kama hili,kwamba kiongozi afanye kazi bila ushauri?
 

Interesting
Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:


hilo tunalitambua ndio maana tunamuunga mkono lowassa

Interesting....

Haya sasa, tambo za 'kofia oyeeeeee' Vs Andrew Nyerere ambaye wengi tunaojua mabandiko yake huwa yanatoka moyoni!

Uko sahihi mleta mada tushashituka mbona kitambo tu


Hivi hizo kura za kumpa ushindi lowasa zinatoka wapi? Arusha kuna minong'ono kuwa alikuwa ana mpango wa kuwafukuza wachaga ARUSHA mjini. Msiione wanamchekea wanamtumia kuongeza ruzuku na wabunge, kwenye urais asahau.



ACHA UBAGUZI.
MSG ZA UCHOCHEZI HAZITAKIWI.

CCM NI LINI MTAACHA SIASA ZA CHUKI.
HATA VIONGOZI WENU WAWAPO MAJUKWAANI WANAONGEA KWA CHUKI ZA WA WAZI NA UCHONGANISHI KWA WATANZANIA WENZAO AS IF UKIVAA TU KIJANI UNAHAKI YA HATA KUUA ASIYE CCM BILA KUULIZWA.

Mbona kundi kubwa liko nje ya CCM na limetii miaka 50 bila vurugu?
Nyie ccm mnaona dalili tu ya ya kushindwa kwa miaka kumi au mitano na watanzania wenzenu mnapaniki na kuona bora tukose wote?

Kama mngewathamini watanzania mngeshukuru kwa kupewa ridha hiyo kwa miaka 50 na sio kulipasua taifa kwa kutajana wagombea kimakabila na kuwakataa watanzania kwa makabila yao.

CCM hamna shukurani hivi kweli Nape na Ridhiwani na Mwigulu mnataka muiache Tanzania ikiwa na vurugu kwa sababu ya kutaka mgombea wenu ashinde au ndio mmesahau kuwa nafasi mlizo nazo sio haki ya urithi bali ni dhamana tu na waliowapa nyie dhamana wanataka kuwapa na watanzania wengine kama ni kufaidi nao wafaidi.
 

Tupe majina aliyopelekewa na "kamati ya usalama".
Andrew Nyerere ungegombea wewe kura yangu ungekuwa nayo.
 
Last edited by a moderator:
Majina nimeyaandika,Jaji Ramadhani,Mahiga,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro. Hao ndio waliochaguliwa katika mchakato,lakini Kikwete akabadilisha mambo ili ,inasemekana amweke Membe,na ndiyo ikaleta kura za hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…