Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 572
- 217
- Thread starter
- #61
atatumia ilani ya chama chake over.
sema:-
nimechoka kuuawa, nimechoka kuibiwa, nimechoka kuteswa na kunyanyaswa ndani ya
nchi yangu, nimechoka kuitwa mpinzani nimechoka kudharauliwa.
Sitaki tena utumwa ndani ya nchi yangu, sasa ni mimi na tanzania hapana ccm octoba 2015
Umesikika