Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

Mwanachama Sahihi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
572
Reaction score
217
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha
 
Ya chama kilichompa tiketi ya kugombea kupitia UKAWA
 
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.?
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha
Uwe unafuatilia news, ilani mbona zimesemwa tayari. Chadema wao ni Ubepari, Cuf ni Uliberali. Nccr ni catastrophe prevention (majanga), nld wao privatization. Sasa mgombea wao maadam ni Prof. Lipumba na ni mchumi aliebobea basi atajua how to balance the equation
 
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha

ilani inayokubalika kote
 
BTW, hata JK alitelekeza Ilani ya Chama chake, alitelekeza Ilani ya Chadema na Watanzania tukampongeza sana tu.

Vv
 
Uwe unafuatilia news, ilani mbona zimesemwa tayari. Chadema wao ni Ubepari, Cuf ni Uliberali. Nccr ni catastrophe prevention (majanga), nld wao privatization. Sasa mgombea wao maadam ni Prof. Lipumba na ni mchumi aliebobea basi atajua how to balance the equation
The way nilivyojibu. It means they are going to throw away ILANI ZOTE, so they will just base on policy au sera za vyama tuuu.
 
Nadhani atatumia ilani ya chama kitakachomsimamisha !. Ilani hiyo inaweza kuwa modified ku-accomodate issues za msingi kutoka vyama vingine washirika as much as possible, lakini nadhani overall itakuwa ni ilani ya chama kilichomsimamisha mgombea....

Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha
 
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha

Ilani isiwe tabu sana.

Kwa nchi maskini kama Tanzania ilani ipo wazi.
Ondoa rushwa
Piga vita umaskini,
Kusanya kodi,
Wezesha wakulima wadogo,
Vutia wawekezaji kwenye viwanda vya usindikaji (mazao ya kilimo na mifugo),
Vutia uwekezaji kwenye viwanda kama vya nguo tusiuze pamba ghafi nje ya nchi.

Vitu vyote hapo juu vitaleta pesa kwa watu binafsi na nchi, then

Wekeza kwenye elimu, afya, miundombinu

Nyingine zote mbwembwe tu.
 
Akili mbovu ninyi, kama watu wmeungana si lazima watekeleze kile walicho kubaliana? haitakuwa muungano kama yatatekelezwa ya chama kimoja, tumieni akili muda mwingine
 
Hizi ilani za vyama hazitoki nje ya mahitaji makuu ya nchi na watu wake.Ilani za vyama ndio mwanzo wa ugomvi na ushindani usio na tija unaojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu.Ilani zote za vyama vyote,zingeangaliwa na kuchagua zile zenye maslahi ya taifa letu na kuzifanya kuwa sera za taifa hili.Chama kinachoshinda kingekwenda kuzitekeleza hizo badala ya kila chama kuja na ilani ambazo hazitofautiani sana ila kwa maneno tu.Vyama vingeshindana katika utekelezaji wa ilani kama sera kuu ya nchi kupitia serikali iliyoko madarakani.
 
Mgombea huyo atatetea ilani yenye tija,ukweli,mafanikio,kuondoa umaskini, kero zilizojengwa/kupandikizwa na watawala watangulizi.
 
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha

kwa kuwa ilani ya ccm ni kutokuwaangusha mafisadi mgombea wa UKAWA atakwenda na ilani ya kuwateketeza mafisadi
 
Ilani isiwe tabu sana.

Kwa nchi maskini kama Tanzania ilani ipo wazi.
Ondoa rushwa
Piga vita umaskini,
Kusanya kodi,
Wezesha wakulima wadogo,
Vutia wawekezaji kwenye viwanda vya usindikaji (mazao ya kilimo na mifugo),
Vutia uwekezaji kwenye viwanda kama vya nguo tusiuze pamba ghafi nje ya nchi.

Vitu vyote hapo juu vitaleta pesa kwa watu binafsi na nchi, then

Wekeza kwenye elimu, afya, miundombinu

Nyingine zote mbwembwe tu.
Kula 5 mkuu
 
Pale wapowapo tu, hakuna utaratibu wowote ni ubabe kwenda mbele, mchakato wenyewe haujulikani upoje upoje
 
Kitakacho fanyika mkuu ni kwa mgombea kunadi ilani ya chama alichotokea katika kampeni ila akiwa madarakani anamix sera za pande zote mbili.
 
Back
Top Bottom