Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

Hata UKAWA ni hivyo hivyo. UKAWA sio chama, bali ni ushirikiano. Sasa na wao wakishinda wataunda serikali ya Umoja wa Kitaifa, ikijumuisha vyama hivyo vinne. Kwa hiyo, nadhani majibu unayo mkuu, ila tu unafanya uchokonozi

Sasa katika hawa nani wa kumlazimisha mwenzake? Kwa hiyo tusubiri washinde ndiyo waje na mtazamo wa pamoja? Wanashinda na sera gani au ni ushabiki tu?
 
Sasa katika hawa nani wa kumlazimisha mwenzake? Kwa hiyo tusubiri washinde ndiyo waje na mtazamo wa pamoja? Wanashinda na sera gani au ni ushabiki tu?

Usome Memorandum of Understanding utaelewa mkuu. Muwe mnafanya utafiti kwanza kabla ya kuleta jambo public kama hapa. Maana mwisho wa siku utaonekana kituko. Hayo mambo ya mtazamo wa pamoja yalishapita mkuu hayasubiri mpaka washinde. Isome MoU utaelewa vizuri hata hayo mambo ya uhuishaji wa sera
 
Iweke hapa ili twende vizuri
 
Uwe unafuatilia news, ilani mbona zimesemwa tayari. Chadema wao ni Ubepari, Cuf ni Uliberali. Nccr ni catastrophe prevention (majanga), nld wao privatization. Sasa mgombea wao maadam ni Prof. Lipumba na ni mchumi aliebobea basi atajua how to balance the equation

ulichotaja sio ilani
 
Unataka upewe kazi ya kuwaandalia?
Members wa JF, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba UKAWA siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ILANI ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha
 
Iweke hapa ili twende vizuri

Ni hizi hapa chini mkuu. Zisome vizuri ili usiendelee kufanya vituko. Maana mambo mengi unayouliza yamekufa kifo cha mende. I don't think if you really serious
 
Attachments

  • 1436885950250.jpg
    1436885950250.jpg
    76.5 KB · Views: 77
  • 1436885970264.jpg
    1436885970264.jpg
    83.5 KB · Views: 71
  • 1436885987324.jpg
    1436885987324.jpg
    56.4 KB · Views: 74
  • 1436886003684.jpg
    1436886003684.jpg
    57.1 KB · Views: 75
Ni hizi hapa chini mkuu. Zisome vizuri ili usiendelee kufanya vituko. Maana mambo mengi unayouliza yamekufa kifo cha mende. I don't think if you really serious

Asante sana kwa hatua hii...sasa isome 6(i) na pengine (iii) halafu rejea swali langu
 
Asante sana kwa hatua hii...sasa isome 6(i) na pengine (iii) halafu rejea swali langu

Swali lako ni lipi sasa mkuu hapo? Maana hiyo ya 6 (i) tayari kuna technical team ilipewa kazi ya kuhuisha mambo ya msingi katika sera za kila chama ili zifanane. Lakini pmj na kufanana kwa sera katika mambo ya msingi, mgombea wa Urais kupitia UKAWA atatumia ilani ya chama chake. Na hiyo ilani itakuwa imehuishwa na kujumuisha inputs za vyama vyote vinne. Hiyo ya 6 (iii) tayari iko kwenye hatua za mwisho. Maana hapo ni namna ya kuachiana nafasi za mgombea wa Urais, Wabunge na madiwani. Nadhani uliona hiyo ilivyofanyika kwenye serikali za mitaa mwaka jana. Una swali jingine tena mkuu?
 
Swali lako ni lipi sasa mkuu hapo? Maana hiyo ya 6 (i) tayari kuna technical team ilipewa kazi ya kuhuisha sera za kila chama ili zifanane. Lakini pmj na kufanana kwa sera katika mambo ya msingi, mgombea wa Urais kupitia UKAWA atatumia ilani ya chama chake. Na hiyo ilani itakuwa imehuishwa na kujumuisha inputs za vyama vyote vinne. Hiyo ya 6 (iii) tayari iko kwenye hatua za mwisho. Maana hapo ni namna ya kuachiana nafasi za mgombea wa Urais, Wabunge na madiwani. Nadhani uliona hiyo ilivyofanyika kwenye serikali za mitaa mwaka jana. Una swali jingine tena mkuu?

Nipe hiyo kazi ya Technical Team na viambatisho vyake na hapo ndo nimejikita zaidi na swali langu.
Natanguliza shukrani.
 
Nipe hiyo kazi ya Technical Team na viambatisho vyake.
Natanguliza shukrani.

Sasa wewe una matatizo yako tu. Kwani mwaka jana hukuona kilichofanyika kwenye serikali za mitaa? Umedai MoU tumekupa. Sasa unataka upewe mpk hizo kazi za technical team? Siwezi kufanya hivyo kwa sababu hapa sio mahali pake. Uchaguzi ni ushindani, huwezi ukaanza kuweka siri zako kwa adui ukasalimika. Kitu cha msingi km una hoja ziseme na sio kudandia mambo mengine. Nadhani hoja zako zote zimejifia ndio maana umeshindwa cha kujibu
 
Pole sana, hili ndilo linalonisumbua sana kama hujui. Mkuu hata jando na unyago huwa tunajua wahusika ni akina nani.
Ule upande mwingine sasa tunaweza kuwapembua vizuri maana hakuna lililoko sirini kwa sasa. Wewe unanihadaa na eti mbinu za kushinda uchanguzi. Hapana, tuletee hapa hizo shughuli. Jukumu la kuendesha nchi siyo lelemama
 
Nadhani watakaa viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Watanzania UKAWA ili kujadili na kupitisha ilani itakayotumiwa na viongozi wa ukawa pindi watakapokuwa wanajinadi kwa wananchi.
 
Pole sana, hili ndilo linalonisumbua sana kama hujui. Mkuu hata jando na unyago huwa tunajua wahusika ni akina nani.
Ule upande mwingine sasa tunaweza kuwapembua vizuri maana hakuna lililoko sirini kwa sasa. Wewe unanihadaa na eti mbinu za kushinda uchanguzi. Hapana, tuletee hapa hizo shughuli. Jukumu la kuendesha nchi siyo lelemama

Wewe si uliomba MoU ukapewa? Mbona unakuwa kigeugeu mkuu. Kuwa na msimamo ni jambo la mhimu sn ktk maisha. Hayo mambo yanayokusumbua subiria wahusika yatajulikana tu punde. Haina haja ya kufanya propaganda ambazo hazina maana. Sidhani km zitawasaidia sn kwenye harakati zenu za kisiasa. Majibu yote yako kwenye MoU. Hayo mengine ni ya ndani wahusika watakuja kuyaweka wazi wenyewe, na sio hivi vituko vyako na comedies unazofanya hapa JF
 
members wa jf, sina tatizo na mchakato unaoendelea kwenye vyama vyote vya siasa kwa sasa hapa nchini. Nafahamu na ndivyo kwamba ukawa siyo chama kilichosajiliwa na hivyo katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao, umoja huo hauna ilani ya pamoja.
Naomba tu ili kuweka kumbukumbu vizuri nifahamishwe bayana ni ilani ipi mgombea wa umoja huo ataenda kuinadi na kuitetea.
Nawasilisha

atatumia ilani ya chama chake over.

sema:-
nimechoka kuuawa, nimechoka kuibiwa, nimechoka kuteswa na kunyanyaswa ndani ya
nchi yangu, nimechoka kuitwa mpinzani nimechoka kudharauliwa.

Sitaki tena utumwa ndani ya nchi yangu, sasa ni mimi na tanzania hapana ccm
octoba 2015

Wewe si uliomba MoU ukapewa? Mbona unakuwa kigeugeu mkuu. Kuwa na msimamo ni jambo la mhimu sn ktk maisha. Hayo mambo yanayokusumbua subiria wahusika yatajulikana tu punde. Haina haja ya kufanya propaganda ambazo hazina maana. Sidhani km zitawasaidia sn kwenye harakati zenu za kisiasa. Majibu yote yako kwenye MoU. Hayo mengine ni ya ndani wahusika watakuja kuyaweka wazi wenyewe, na sio hivi vituko vyako na comedies unazofanya hapa JF

Tatizo majibu yako yanachochea na hatimaye kuamsha maswali zaidi. Pengine ilitosha kusema kwamba mambo hayajakaa sawa. Tukikamilisha tutaeleza kila kitu bayana. Nadhani hii ingekaa sawasawa na hivyo swali langu lingepata walau premature answer prior to...
 
Back
Top Bottom