Mgombea urais na elimu yenye mashaka

Mgombea urais na elimu yenye mashaka

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Hatimaye wasomi mbalimbali wameziji kujitokeza wakiwa na mashaka na uwezo wa elimu ya mgombea urais kupitia Ukawa kutokana na namna asivyoweza kujenga hoja, kutokuwa na kumbukumbu ya kile anachozungumza na kuna wakati akiulizwa alichozungumza amekuwa hana kumbukumbuku kabisa. Hali hiyo imezidi kutia mashaka wasomi wengi na vijana mbalimbali ambao wamekuwa wakifatilia mchakato mzima wa kampeni. Hi ni hatari kwa taifa kupata rais ambaye hana kumbukumbu.

Aidha wamezidi kutilia shaka juu ya elimu aliyopata chuo kikuu, au ndo wale waliokuwa wakigoma kila kukicha pasipo kutilia mkazo masomo zaidi. Katika hili kuna tatizo ni vema tukaweka kando itikadi na kutanguliza mbele maslahi mapana ya Taifa.
 
Hahahahaaaa, hata awe hajui kusoma tunampa kura, tumempenda jinsi alivyo.
Watu wa tangawalipa kura maji marefu sio kwa elimu,kafikia vidudud anajua kusoma na kuandika tu.

Mulugo alipewa uwaziri hata hajui tanzania inatokana na nini,maji marefu ndie mwenyekiti wa kamati ta elimu ya bunge huku kusoma hajui vizuri.
 
Matusi hayasaidii, leta fact kama umeenda shule, in case huna shule usikurupuke waache wenye elimu zao wachangie.
 
Hivi unafikiri watanzania wanapenda propaganda kama hizi? Huna jipya kula tu hela zao!
 
Nahisi kwa walioenda shule watakubaliana na mimi, kama kapata elimu stahiki asingekuwa na uwezo dhaifu kama hivo huyo mzee wenu.
 
Afadhali ya Lowassa masters yke amesoma nje ya nchi,ila Pombe kuanzia std 1 to Phd level ni Tz,hata kenya hapajui.
 
Makamanda tuongee fact, ila huyu mzee kweli hana kumbukumbu
 
Ubora wa mgombea pia elimu yake na uwezo binafsi unachangia afanye vizuri.
 
Rais mmoja hv Ana GPA ya mbili chuo wasomi awakumuona??
 
Mgombea hawezi kujenga hoja atatuwakilisha vipi nchi za nje, acheni ushabiki.
 
Hatimaye wasomi mbalimbali wameziji kujitokeza wakiwa na mashaka na uwezo wa elimu ya mgombea urais kupitia Ukawa kutokana na namna asivyoweza kujenga hoja, kutokuwa na kumbukumbu ya kile anachozungumza na kuna wakati akiulizwa alichozungumza amekuwa hana kumbukumbuku kabisa. Hali hiyo imezidi kutia mashaka wasomi wengi na vijana mbalimbali ambao wamekuwa wakifatilia mchakato mzima wa kampeni. Hi ni hatari kwa taifa kupata rais ambaye hana kumbukumbu.

Aidha wamezidi kutilia shaka juu ya elimu aliyopata chuo kikuu, au ndo wale waliokuwa wakigoma kila kukicha pasipo kutilia mkazo masomo zaidi. Katika hili kuna tatizo ni vema tukaweka kando itikadi na kutanguliza mbele maslahi mapana ya Taifa.

Asante sana mwandishi kwa kuliona hilo,vijana baadhi hawajitambui ndio sababu wanashabikia pasipo kujua.
 
Hivi hamuelewi kwamba watu wako tayari kuchagua jiwe kama hakuna jinsi nyingine?
 
Anayechagua jiwe ujue hata mke hawezi kutafuta hadi asaidiwe.
 
Watu wenye akili za kuchagua mawe ukifatilia kwa karibu yawezekana hawajiandikisha, pia elimu yao inaweza kuwa ni yakuungaunga.
 
Back
Top Bottom