Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Hakuna mgombea asiye na Shaka, ni kawaida kwa binadamu,
Usidhani ni kweli kuwa CCM wanategemea kura za wizi, Kama ukishawahi ona namna kura zinavyohesabiwa na kubandikwa, kuibiwa huwa ni ngumu isipokuwa vijiji vya kushindia ambavyo havina wawakilishi katika chumba Cha kupiga/kuhesabu kwa kukazia kifupi ni kuwa Magufuli alikuwa rais (hata Sasa), hivyo anahofu kuliko hata Lisu, au mwingine. Akina Lisu wanashangaa support kubwa ambayo hawakuitarajia, magufuli anajua wengine, wanaenda tu kumshangaa alivyosikika nchini na anaonekanaje kwa namna alivyoipelekesha nchi nzima, yukoje mtu huyu, lakini nijwambia wananchi ni waumini wa Maendeleo ya vitu kuliko sera ya CHADEMA (Na magufuli anajua Hilo) na hapo ndipo panapowatisha wapinzani.
Naomba ujibu swali kwa nini ana ona kuwa watanzania watamkataa? Jibu swali anaegombea ndio anaesema sio wewe Kwa nini anahofu? Kaona nini? Na Kwa nini anashangaa watu kujitokeza kugombea? Ina maaana hajui kuwa Tanzania ni ya vyama vingi? Pia nauliza anaposema kuwa mkapa walipewa kumi inamaana amechanganyikiwa na kuona hicho ndio kigezo cha yeye kupewa? Je hajui kuwa kipindi hicho kulikuwa Hakuna mateso, mauwaji, utekaji, udhalilishaji, Ubaguzi, ukabila, ubabe, kukamata Kamata na kuweka gerezani Halafu unasema toa hela nikuachie, ikatiri na kuvunja haki xa biandamu, inamaaana hajui kuwa vikundi vya wasiojulikana hawakuwepo?
 
Wakuu, kuna mgombea urais mmoja leo amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingne kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi? Anahoji kwani yeye ana makosa gani? Nimeshindwa kuelewa wakuu kwani hao aliowataja walipita bila kupingwa? Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka wote hao waligombea na wapinzani waliweka wagombea urais, sasa huyu wa leo kusema maneno hayo nimeshindwa kabisa kumwelewa.

Lakini kuna kitu nimekigundua kuwa huyu mtu hapendi kupingwa, kumbe ndio maana hata kushauriwa au kukosolewa alikataa katakata nimejaribu kugmfuatilia hata huko nyuma kumbe kwenye ubunge Siku zote alikuwa anapita bila kupingwa alikuwa anafanya vigisu vigisu hadi wenzake wanaondolewa, ni tabia yake.

Pia nimejiuliza kwani anapolalamika kuwa wenzake walipewa miaka kumi inamaana ameishajua kuwa Watanzania wamemkataaa? Swali langu amejuaje kuwa hatapita? Amejuaje kuwa mwisho wake ni miaka mitano? OK tunashukuru kajua kuwa watanzania wameishasema no

Niwakbushe kitu ambacho hamkijui "MANENO YANAUMBA"

Kumbe hata hiii ya kuua democracy huyu mzee ni kitu kilicho kwenye damu, na maneno hayo aliyoyasema kayasema mara kwa mara na si Dalili Nzuri Mtumishi Kama huyu kupewa nchi nihatariiiii kuliko mnavyofikiri mtu kama huyu anaweza kukugeuka mtu yoyote uwe CCM Au upinzani, uwe ndugu au usiwe ndugu, watu wa aina hiii hawapaswi kuwaachwa wakapita wakuuu chukueni tahadhali mtu kama huyu anaumiza kote kote na watu kama hawa hawaondokagi madarakani mtakuja kujuta huko mbeleni, leo utamuunga mkono kesho atakugeuka itakula kwako unaemuunga mkono kisa uko nae kwa sasa.
Hivi mwanamume anaemtongoza mwanamke anaenda Kwa kigezo kuwa mbona Fulani ulimkubalia kipindi kile? Kwan nini Mimi unaninyima? Tobaaaaa
MAGUFULI hawezi kulingana na ma-Rais waliotangulia kwa kuwa ana tabia za kinyama. Wale waliotangulia pamoja na mapungu yao kadhaa lakini walikuwa na UBINADAMU kwenye mioyo yao.
Huwezi ukafukuza watu wa vyeti feki namna ile na kumuacha Makonda lazima una moyo wa SHETANI. Huwezi kabomoa nyumba za Kimara na ukaacha za Mwanza lazima uwe ni mfuasi wa LUCIFER. Huyu Magu ni Mrundi au Mnyarwanda, ndiyo wana mioyo ya namna hiyo.

Kumpa MAGUFULI miaka mwingine 5 ni ni kuleta umaskini Tanzania
 
Dhamiri ishaanza kumwambia yajayo, halafu anaposema hayo zaidi anawalenga wazee wa system wapiga kura watafuata.

Screenshot_20200921-145557.png

JPM amesusiwa kisa kiburi na umbumbumbu wake...
 
Hakuna mgombea asiye na Shaka, ni kawaida kwa binadamu,
Usidhani ni kweli kuwa CCM wanategemea kura za wizi, Kama ukishawahi ona namna kura zinavyohesabiwa na kubandikwa, kuibiwa huwa ni ngumu isipokuwa vijiji vya kushindia ambavyo havina wawakilishi katika chumba Cha kupiga/kuhesabu kwa kukazia kifupi ni kuwa Magufuli alikuwa rais (hata Sasa), hivyo anahofu kuliko hata Lisu, au mwingine. Akina Lisu wanashangaa support kubwa ambayo hawakuitarajia, magufuli anajua wengine, wanaenda tu kumshangaa alivyosikika nchini na anaonekanaje kwa namna alivyoipelekesha nchi nzima, yukoje mtu huyu, lakini nijwambia wananchi ni waumini wa Maendeleo ya vitu kuliko sera ya CHADEMA (Na magufuli anajua Hilo) na hapo ndipo panapowatisha wapinzani.
Kama hawategemei kura za wizi na mbinu chafu Kwa nini hawajiamini? Sisi tunaongea Kwa ushahidi, wewe unaona mfano Yule dada wa mlimba amewekewa pingamizi na Mkurugenzi eti hakuwakilisha risiti, Wakati umeziona Picha za risti ziko mezani na zimethibitishwa na Mkurugenzi na had video umeoneshwa Mkurugenzi akiwa ofisini na umati uliopeleka risti na amekabidhiwa risti mkononi video inaonesha kashika risit Ya bank na anamkabidhi Afisa wake hiyo risti, hiyo ni video bila Cheka Halafu unaweka mizengo upite bila kupingwa Halafu wewe unakuja kusema kuwa wanapita Kwa kura halal, hivi unajielewa kweli wewe?
 
Ah wewe Slaa zaidi ya Moshi, Arusha, Mbeya na Iringa maeneo mengine alikuwa hana ushawishi na hoja ya upadre iliwachanganya watu. Ila huyu Magufuli kwanza kiukweli jamii haimkubali! Kama siyo dola, nasema kama siyo dola sijui!
Ni kweli lakini alimpa tabu kweli kweli. Kutoka 80% mpaka 60%
 
Bosco kazdiwa tuseme ukweli tu.

hata vyama vyote vya upinzani mkiungana bado hamuwezi kuitoa ccm, the fact that hata lowasa hayupo na nyie tena ndo kabisa sidhan kama mna hali nzuri, magu anatekeleza wajibu wake tu wa kampeni lakini he is already above 80%
 
Huyo mgombea anatolea mfano wa aina za matukio yaliyotokea nchini na ya kwake ikiongoza kwenye chati... shida iko wapi? Kasema uwongo kwani? Na kwa sasa hivi amesha sema ya kutosha, anaongelea vitu vingine, na bado atabadilisha tu... yuko vizuri mnooooo.... ndio maana mnam-mind sana sana sana tena sana...

wacha nkupe fact! hata mkiungana vyama vyote nchi nzima bado hamtaiweza ccm, the fact that ccm itatoka na 80%+ haimaanishi asifanye kampeni, so far vyote lissu alivoongea hakuna ata moja that makes sense! labda issue ya uhuru wa vyombo vya habari, ila outside that kila kitu ameongea ni pumba tu
 
Ni wapi nimesema nina kadi ya chama chochote kile??? Hata ukitafuta posts zangu zote ndani ya JF sijasema ni mwanachama wa chama cha kisiasa fulani..
 
wacha nkupe fact! hata mkiungana vyama vyote nchi nzima bado hamtaiweza ccm, the fact that ccm itatoka na 80%+ haimaanishi asifanye kampeni, so far vyote lissu alivoongea hakuna ata moja that makes sense! labda issue ya uhuru wa vyombo vya habari, ila outside that kila kitu ameongea ni pumba tu
Issue ya uhuru wewe umeiona ni Jambo Dogo? Unajua maana Ya uhuru? Mdogo Mdogo utaelewa yooote Kama umeelewa Jambo kubwa Kama hilo na umemkubali basi hayo madogo madogo pia utayaelewa tu ni muda
 
Kama hawategemei kura za wizi na mbinu chafu Kwa nini hawajiamini? Sisi tunaongea Kwa ushahidi, wewe unaona mfano Yule dada wa mlimba amewekewa pingamizi na Mkurugenzi eti hakuwakilisha risiti, Wakati umeziona Picha za risti ziko mezani na zimethibitishwa na Mkurugenzi na had video umeoneshwa Mkurugenzi akiwa ofisini na umati uliopeleka risti na amekabidhiwa risti mkononi video inaonesha kashika risit Ya bank na anamkabidhi Afisa wake hiyo risti, hiyo ni video bila Cheka Halafu unaweka mizengo upite bila kupingwa Halafu wewe unakuja kusema kuwa wanapita Kwa kura halal, hivi unajielewa kweli wewe?
Safi mrembo wangu
 
Tunasema mrudisheni huyo mama wa mlimba haraka sana Kama mnapendwa mtamshinda, muache kuingiza watumishi wa nec kwenye mtego wa kuitwa Mahakama Ya ICC ya mtawaumiza ushahid huo wa video uko nchi nxima mtaumia
 
Back
Top Bottom