Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameishapatikana

Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ambae atapeperusha bendera yachama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ameisha patikana, ila bado tukumshauri na kumwomba akubali kugombea, kazi hiyo inafanywa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wenye busara na ushauri wa kutosha.
Sifa zamgombea huyo:

  1. Anakubalika na vyama vyote,ataliunganisha taifa hili ambalo akina Lowassa wamelisambaratisha na makundi yao.
  2. Ni mweledi
  3. Hana makundi
  4. Hana harufu yoyote ya ufisadi
  5. Ni mcha mungu
  6. Anakubalika sehemu zote za JMT,Tanzania bara na visiwani, anakubalika na dini zote hata wapagani
  7. Ana uzoefu wa kutosha na kupitilizawa uongozi
  8. Hajawahi kuomba wala kupokea rushwatangu azaliwe
  9. Ni kiongozi wa mfano(role model) tokakatika familia yake hadi sehemu za kazi
  10. Anakubalika kimataifa
  11. Ni kiongozi safi ambae watu wanamkubali, ndege angani wanamkubali,hata wanyama polini tembo faru watakuwa salama ndani ya uongozi wake

Chama cha mapinduzi si chama cha wapumbafu kiasi ati wawachague sijui Membe, Sijui Sitta, Sijui Ngulu Nchemba, Sijui Wassira ambao tayari wana wakundi wapeperushe bendera yake, Chama Cha Mapinduzi kimefanya busara zake zote kumshauri mgombea mtarajiwa achukue form. Muelewe CCM mgombea wake huyo ameombwa agombee, siyo amejipigia debe kama wengine.

Tusubiri tuone

EE Mungu ibariki Tanzania, tuondokane na jinamizi hili.
ni Augustino Ramadhani, ni mkristo , kwa hiyo mgongano wa dini hakuna, ni mzazibari, kwa hiyo mgongano wa kupokezana kijiti Haupo, ni muadilifu , amestaafu kama hakimu na kwa uadilifu, Hana Kashfa za rushwa , na Hana Mzigo kwa jumuia , kama kuwa na vimada
 
CCM kumtafuta mtu msafi ni sawa na shetani kumtafuta mtu msafi Ili wakachomwe pamoja.
 
Ccm hakiwezi kuwa na mgombea mhuni mwizi na asiye mwadilifu hili lipo wazi kwa kila mtu na hata wagombea wenyewe wanajua hayo.

Uzoefu unaonyesha wengine walio pita wote wana kashfa za rushwa na ufisadi,Kwahiyo unataka kusema huyo mgombea was ccm ambae sio mwizi na mlarushwa atabadilika nakuwa mlarushwa na fisadi akisha ingia ikulu au.
 
Lowassa the great, unstoppable and the man of God. Anasubiri kuapishwa take it from me
 
Ni kweli ndani ya CCM hii mtu huyo hayupo, ila uelewe kwamba mtu huyo ameombwa agombee, mtu anayeombwa anaweza kukatiwa kadi kwa madhumuni maalumu, CCM ilichaangalia hapa ni watu wote wanufaike na rais ajae, siyo kikundi cha watu.

Mkuu, kuna kitu hujakielewa. Ccm ni kinyesi (kumradhi) ata uwe msafi vipi ukisha kishika lazima unajisike/uchafuke na unuke utie watu kinyaa. kwasasa ccm ilipofikia ata aje nabii Sulemani au Mtume Muhamad akishaishika kadi ya ccm tu lazima anajisike na kuwa choo.
 
kama sumaye vile!! naona he is the best candidate for CCM by now. Agustino Rama ni mzuri ila ni mzanzibar ambayo ni nchi jirani. Hiyo tu itamkosesha kura za bara.
 
uliposema hata wanyama porini wanamkubali nikajua wassira manake anafanana na baadhi ya wanyama ila mwisho uki divert ghafla.
Wema Mliberali kumbe kwenye siasa na wewe upo siyo kwa wale jamaa zetu tu
 
Ni Jaji mstaafu Augustino Ramadhani.

Hakika huyu ndio ccm wamekaa kikao na kuona anaweza kuwa mkombozi wao,ila tetesi ni kwamba huyu muheshimiwa anaheshimiana sana na Lowasa hivyo hata weza kugombea na atamuachia swahiba wake.
 
Ni Jaji mstaafu Augustino Ramadhani.

Huyu Jaji alichafua kupindukia cv yake pale alipoasisi kunajisiwa kwa hukumu zote za mahakama kuanzia Mahakama Kuu ya Dodoma mpaka Mahakama ya Rufaa katika kesi ya Mgombea binafsi ambapo mahakama zote hizo zilimpa ushindi Mtikila na kuhalalisha Mgombea Binafsi. Jaji huyu akiwa Jaji Mkuu akaja kukusanya Majaji wengine sita wakawa saba na kufuta hukumu zote hivyo kunyima Watanzania haki yao ya kikatiba ya kupigiwa kura. Shinikizo la utawala ulioko ukingoni, hivyo kumpa urais huyu ni kuendelea na utawala ulioko sasa. HAFAI HATA KWA DAKIKA MOJA!
 
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameishapatikana

Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ambae atapeperusha bendera yachama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ameisha patikana, ila bado tukumshauri na kumwomba akubali kugombea, kazi hiyo inafanywa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wenye busara na ushauri wa kutosha.
Sifa zamgombea huyo:

  1. Anakubalika na vyama vyote,ataliunganisha taifa hili ambalo akina Lowassa wamelisambaratisha na makundi yao.
  2. Ni mweledi
  3. Hana makundi
  4. Hana harufu yoyote ya ufisadi
  5. Ni mcha mungu
  6. Anakubalika sehemu zote za JMT,Tanzania bara na visiwani, anakubalika na dini zote hata wapagani
  7. Ana uzoefu wa kutosha na kupitilizawa uongozi
  8. Hajawahi kuomba wala kupokea rushwatangu azaliwe
  9. Ni kiongozi wa mfano(role model) tokakatika familia yake hadi sehemu za kazi
  10. Anakubalika kimataifa
  11. Ni kiongozi safi ambae watu wanamkubali, ndege angani wanamkubali,hata wanyama polini tembo faru watakuwa salama ndani ya uongozi wake

Chama cha mapinduzi si chama cha wapumbafu kiasi ati wawachague sijui Membe, Sijui Sitta, Sijui Ngulu Nchemba, Sijui Wassira ambao tayari wana wakundi wapeperushe bendera yake, Chama Cha Mapinduzi kimefanya busara zake zote kumshauri mgombea mtarajiwa achukue form. Muelewe CCM mgombea wake huyo ameombwa agombee, siyo amejipigia debe kama wengine.

Tusubiri tuone

EE Mungu ibariki Tanzania, tuondokane na jinamizi hili.

Ni JOHN POMBE MAGUFULI
 
Bahati mbaya sana Mtu wa namna hiyo alifariki mwaka 1999 October 14, mpaka sasa hivi hakujazaliwa tena mtu wa namna hiyo akawa CCM.
 
Shida atafanya kazi na nani ,na je yupo tayari kuingia kwenye tope la CCM,? Ni yule aliyekataa mgombea binafsi? Kwa umri wake ,miaka 70 si busara kwake kutumikia kikundi cha manyangau na wapiga dili watamchafua bure mzee wa watu,na sidhani kama yupo tayari kufanya kazi na kundi lililochakachua na kupiga teke maoni ya wananchi kwenye katiba aliyokusanya. Tusubiri tuone unafiki wa siasa na ajihadhari na habari ya UZANZIBARA wasije mchafua
 
Huyo Atakuwa Dr Salim Ahmed Salim,ndo Anakubalika Na Vyama Vyote,hana Makundi,hana Makuu,si Fisadi,hana Tamaa Ya Kwenda Ikulu,hana Udini,kwa Jinsi Baadhi Ya Waislamu Walivyo Wajinga,watadhani Kuwa Ujio Wa Dr Salim,(kama Atagombea) Ndo Mahakama Ya Kadhi Itakuwepo,hakuna Mahakama Ya Kadhi Tanzania Hata Kama Watatawala Waislam 50.

We ndio punguani wa kwanza duniani na mbaguzi wa dini. Mleta mada kazungumza mambo tofauti halafu unashusha matusi dhidi ya waislamu Inaonekana we sio hata mpagani maana imani ya kipagani haielekezi kumtukana mtu hata kama amekukosea.
 
Back
Top Bottom