GE2025 Mgombea urais kupitia UDP ampongeza rais Samia jukwaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
"Lakini kabla sijamaliza nataka nimpongeze na naomba msichukie hili, Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuilinda amani ya nchi yetu, Lakini pia nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama, ndugu zangu hawa Jeshi na polisi hawalali, sisi tunakuwa tunalala lakini wao wanakuwa wako macho wanatulinda, kwahiyo niwaombe kwamba hawa msiwachukie jamani, hawa ni ndugu zenu hawa ni kaka zenu, hawa tuko nao pamoja kwa maana hiyo tuwapongeze sana kwamba hata sisi UDP, Tukikamata dola suala la mwanzo ni kulinda amani ya nchi yetu na hawa hawa ndio wanalinda hiyo amani."

Amesema Juma Khamis Faki, Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saumu Rashid akimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake kubwa katika kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumu katika kipindi chote cha uongozi wake. #EastAfricaTV

USSR
20250902_180103.jpg
 
View attachment 3462819

Kwa wale wasio na uelewa, walipokuwa wanaambiwa kuwa mwaka huu hakuna uchaguzi, wakakosa kuamini, nadhani sasa wataanza kuelewa.
 
Kwa hiyo inamaanisha kuwa miaka yote palikuwa na uchaguzi isipokuwa mwaka huu?

Amandla...
 
"Lakini kabla sijamaliza nataka nimpongeze na naomba msichukie hili, Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuilinda amani ya nchi yetu, Lakini pia nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama, ndugu zangu hawa Jeshi na polisi hawalali, sisi tunakuwa tunalala lakini wao wanakuwa wako macho wanatulinda, kwahiyo niwaombe kwamba hawa msiwachukie jamani, hawa ni ndugu zenu hawa ni kaka zenu, hawa tuko nao pamoja kwa maana hiyo tuwapongeze sana kwamba hata sisi UDP, Tukikamata dola suala la mwanzo ni kulinda amani ya nchi yetu na hawa hawa ndio wanalinda hiyo amani."

Amesema Juma Khamis Faki, Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saumu Rashid akimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake kubwa katika kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumu katika kipindi chote cha uongozi wake. #EastAfricaTV

USSR
View attachment 3462819
Kampeni za mwaka huu 2025, ni vituko na burudani murwaa! Unatamani uchekee, unatamni iwe ni Ndoto, kumbe ni real. Kwa kweli ni comic tupu.
 
Back
Top Bottom