Umemjibu vyema. Kuna watu wanakuja kuandika vitu hapa kama vile wamemsikiliza wao tu. Hivi kuna mwenye akili timamu anaamini magufuli anaweza kumfunga kikwete? Ccm kweli mtaji wake ni wajingawajinga
Wananchi wa vijijini watafaidi sana pia!Hii nimeipenda sana.
Hata wafanyabiashara wameshalalamika sana kuhusu hili.
Kwa kufanya hivyo atapunguza urasimu kwa kiwango kikubwa sana.
Nimemushanga sana eti anaomba kurudi kwenye vitabu akasome ufisadi? Aibu sana
Uyu Dada kama ametumwa, anemuuliza maswali magumu sana mpaka President anataka kuumbuka.
1Alipoulizwa kwa namna gan atazibiti ufisadi, amekataa kujibu
2. Utatoaje elimu bure akajibu mashangingi mbona yapo ya mil 230
3. Ulishindwaje kutekeleza aya ukiwa ccm kwasababu ulikua kule akajibu ni miaka mingi yaan ni 10.
4.Uliwai kupendekeza aya mambo aya ukiwa ccm ,amekataa kujibu.
Uyu zuhura yunus naona kama ametumwa vile, naona kama kura yng inataka kuondoka ukawa kwenda kwa magufuli.
Lowasa katika hali yakushangaza kabisa katika mahojiano maarumu na bbc lashidwa kujibu suala na ufisadi na kuonesha wazi mikakati yake zidi ya kansa inayopigiwa kelele na wengi kuwa chanzo cha umasikini ikitajwa kuwa kero no,1 kwa watanzania,
katika hali hii inaonesha lowasa hana dhamira wala mpango wowote wa kuchangia a suala hili na hajajipanga juu ya tatizo hili na hajawai kufikiri juu ya tatizo hilo badala yake ameishia kutoa majibu ya hovyo,
swali kwa lowasa adi sasa unaomba nagasi ya kwenda ikulu haujui nafasi ya rushwa na ufisadi katika taifa hili?au unaogopa kuonyesha msimamo wako ili sikumoja wananchi wasikuulize suala hili la ufisadi?
Ni aibu watanzania tuwe makini sana tusiuziwe mbuzi kwenye kiroba,
Tido ni noma.
Alimtoa shoo Sumaye akakiri mara mbili mbili kuwa Ukawa hakuna viongozi wazoefu.
Uliona pia alichomfanya Dr. Silaa siku ile. Duh!
Chadema asilia na ukawa asilia tumeshasema na Dr Slaa alishatuasa kuwa Lowasa hatufai kuwa rais. Fisadi kama wanavyosema hawez ingia ikulu.
Kura zet zooooote tunampa Magufuli
Kanone uko sahihi sana.haonyeshi katika majibu yake kuwa ana nia ya dhati kabisa kuja kuwatumikia wananchi. Anatupotezea muda tu ili mradi ajenda yake ya kushutumiwa ya ufisadi tayari imezikwa. Mission accomplished.
Na ndio maana hakutaka midahalo ili kukwepa mambo kama haya
Uyu Dada kama ametumwa, anemuuliza maswali magumu sana mpaka President anataka kuumbuka.
1Alipoulizwa kwa namna gan atazibiti ufisadi, amekataa kujibu
2. Utatoaje elimu bure akajibu mashangingi mbona yapo ya mil 230
3. Ulishindwaje kutekeleza aya ukiwa ccm kwasababu ulikua kule akajibu ni miaka mingi yaan ni 10.
4.Uliwai kupendekeza aya mambo aya ukiwa ccm ,amekataa kujibu.
Uyu zuhura yunus naona kama ametumwa vile, naona kama kura yng inataka kuondoka ukawa kwenda kwa magufuli.
Siasa zetu za hapa kwetu ambazo wakati mwingine wanasiasa wanawaandaa waandishi wa habari ili wawaulize maswali yakuwapendelea leo imekua tofauti baada ya mh Lowasa kukutana na maswali BBC swahil,
BBC:Mh Lowasa unasema kwamba utatoa elimu bure kuanzia chini mpaka chuo kikuu hizi pesa zitapatikana vp?
Jibuesa zipo nyingi tu kwenye gesi,tuna madini....!
BBC:Lakini ulishakua waziri mkuu vp hili lilishindikanaje ukiwa waziri mkuu?
Jibu:Tulijenga shule za kata nyingi sana.
BBC:Lakini elimu haikua bure mh Lowasa?
Jibu:Nadhani unanionea.
mmmmmh!
Kesho atahojiwa Magufuli ndipo watu watatofautisha hawa wawili.
Kimsingi Lowasa ka fail kukutea hoja zake na jibu ni raisi tu kwamba hizi ni ahadi zisizotekelezeka ndio maana anashindwa kujieleza sawasawa.
Umemjibu vyema. Kuna watu wanakuja kuandika vitu hapa kama vile wamemsikiliza wao tu. Hivi kuna mwenye akili timamu anaamini magufuli anaweza kumfunga kikwete? Ccm kweli mtaji wake ni wajingawajinga
By JUMA MWAPACHU
Wapenzi marafiki zangu, UKAWA na wafuasi wa Lowassa. Tuna siku tano zimebaki kabla ya kufika siku ya uchaguzi wa hatima ya maisha yetu. Sote tumehamasika na kujawa na nguvu kubwa ya kupiga kura ili kuitoa CCM madarakani. Azimio na msimamo wetu ni kubadili serikali ambayo imeshindwa kubadilisha maisha yetu. Tunahitaji serikali mpya iliyo bora na yenye uwezo wa kutekeleza matakwa na matarajio yetu. Edward Ngoyai Lowassa ndiye kiongozi wa kubadilisha maisha yetu duni; na kuleta nyuso za furaha kwetu na familia zetu. January Makamba amechapisha makala katika magazeti ya Mail na Guardian ya Afrika Kusini akimkashifu na kumtuhumu Lowassa kwa njia za hila na zenye kutatiza kuhusu rushwa.
Sisi si wajinga kiasi cha kushindwa kubaini ujanja wake wa makusudi wenye tamaa ya kupotosha ukweli kuhusu suala la Richmond; na katika kujaribu kukosoa upinzani kwa kumuunga Lowassa kinyume na msimamo wao juu ya Lowassa hapo mwaka 2007. CCM inakosa risasi yenye ufanisi wa kumwangusha chini Lowassa. Wengi wa Watanzania wameamua juu ya Lowassa kuwa Rais wao. Wao hawatapeperushwa au kuongozwa na kashifa za kipuuzi na zisizo za msingi zenye lengo la kupakana matope kutoka kwa wanasiasa wasio na mvuto kama January Makamba ambao bado wanashindwa kuelewa ni kwa nini kamwe wao hawakufanya hivyo katika matarajio yao ya kuutaka urais mapema.
Watanzania wanampenda Lowassa kwa sababu ya kuridhika na uongozi wake, uzoefu na uwezo alionao. Wana imani naye na wanaamini uthubutu au ujasiri wake. Wanamheshimu hata katika usafi wa maisha yake ya ndoa. Lowassa si mla rushwa, kumekuwa hakuna ushahidi wowote ili kuhalalisha madai yoyote yanayotolewa dhidi yake. Hakujiuzulu kama Waziri Mkuu mapema mwaka 2008 kwa madai ya rushwa. Ipitieni ripoti ya Mwakyembe. Kambi ya upinzani tayari imeshaonesha majuto kwa 'Orodha ya Aibu' Bw.Makamba. Wao waliliweka jina Lowassa katika orodha hiyo mwaka 2007 kama sehemu ya siasa dhidi ya CCM.
Siku ya Jumapili, tar.25 Oktoba, Watanzania watafanya historia na kumchagua Lowassa kama Rais wao mpya. Imekwishaamriwa hivyo na Mwenyezi Mungu atahakikisha uchaguzi huru na usiokuwa na wizi wowote wa kura kuwahi kufanyika katika nchi yetu.