Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Umemjibu vyema. Kuna watu wanakuja kuandika vitu hapa kama vile wamemsikiliza wao tu. Hivi kuna mwenye akili timamu anaamini magufuli anaweza kumfunga kikwete? Ccm kweli mtaji wake ni wajingawajinga

Amenijibu vipi? Kwa nchi hii adi sasa unataka urais haujui nini cha kufanya kuhusu ufisadi adi ukaulize washauri wako?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nimemushanga sana eti anaomba kurudi kwenye vitabu akasome ufisadi? Aibu sana

Kitabu gani? Kasema ripoti za ppra. Unataka akurupuke wakati yeye ni raisi ajae, yeye magufuli atafunga hao mafisadi anaosema bila ripoti na shahidi
 
Uyu Dada kama ametumwa, anemuuliza maswali magumu sana mpaka President anataka kuumbuka.

1Alipoulizwa kwa namna gan atazibiti ufisadi, amekataa kujibu

2. Utatoaje elimu bure akajibu mashangingi mbona yapo ya mil 230

3. Ulishindwaje kutekeleza aya ukiwa ccm kwasababu ulikua kule akajibu ni miaka mingi yaan ni 10.

4.Uliwai kupendekeza aya mambo aya ukiwa ccm ,amekataa kujibu.

Uyu zuhura yunus naona kama ametumwa vile, naona kama kura yng inataka kuondoka ukawa kwenda kwa magufuli.

dah leo mzee noma sana naona akapaniki kabisa...hapa kazziii tuuu...
 
Mzee alijua ITV apo
Swali LA ufisadi majibu yake hayajaniridhisha kabisa.
Pia alimbana kuwa ulikuwa uko uko mpaka nafasi ya UPM ulishindwaje fanya hayo.
Ngoja tusubili JPM kesho
 
Lowasa katika hali yakushangaza kabisa katika mahojiano maarumu na bbc lashidwa kujibu suala na ufisadi na kuonesha wazi mikakati yake zidi ya kansa inayopigiwa kelele na wengi kuwa chanzo cha umasikini ikitajwa kuwa kero no,1 kwa watanzania,
katika hali hii inaonesha lowasa hana dhamira wala mpango wowote wa kuchangia a suala hili na hajajipanga juu ya tatizo hili na hajawai kufikiri juu ya tatizo hilo badala yake ameishia kutoa majibu ya hovyo,
swali kwa lowasa adi sasa unaomba nagasi ya kwenda ikulu haujui nafasi ya rushwa na ufisadi katika taifa hili?au unaogopa kuonyesha msimamo wako ili sikumoja wananchi wasikuulize suala hili la ufisadi?
Ni aibu watanzania tuwe makini sana tusiuziwe mbuzi kwenye kiroba,

By JUMA MWAPACHU

Wapenzi marafiki zangu, UKAWA na wafuasi wa Lowassa. Tuna siku tano zimebaki kabla ya kufika siku ya uchaguzi wa hatima ya maisha yetu. Sote tumehamasika na kujawa na nguvu kubwa ya kupiga kura ili kuitoa CCM madarakani. Azimio na msimamo wetu ni kubadili serikali ambayo imeshindwa kubadilisha maisha yetu. Tunahitaji serikali mpya iliyo bora na yenye uwezo wa kutekeleza matakwa na matarajio yetu. Edward Ngoyai Lowassa ndiye kiongozi wa kubadilisha maisha yetu duni; na kuleta nyuso za furaha kwetu na familia zetu. January Makamba amechapisha makala katika magazeti ya Mail na Guardian ya Afrika Kusini akimkashifu na kumtuhumu Lowassa kwa njia za hila na zenye kutatiza kuhusu rushwa.

Sisi si wajinga kiasi cha kushindwa kubaini ujanja wake wa makusudi wenye tamaa ya kupotosha ukweli kuhusu suala la Richmond; na katika kujaribu kukosoa upinzani kwa kumuunga Lowassa kinyume na msimamo wao juu ya Lowassa hapo mwaka 2007. CCM inakosa risasi yenye ufanisi wa kumwangusha chini Lowassa. Wengi wa Watanzania wameamua juu ya Lowassa kuwa Rais wao. Wao hawatapeperushwa au kuongozwa na kashifa za kipuuzi na zisizo za msingi zenye lengo la kupakana matope kutoka kwa wanasiasa wasio na mvuto kama January Makamba ambao bado wanashindwa kuelewa ni kwa nini kamwe wao hawakufanya hivyo katika matarajio yao ya kuutaka urais mapema.

Watanzania wanampenda Lowassa kwa sababu ya kuridhika na uongozi wake, uzoefu na uwezo alionao. Wana imani naye na wanaamini uthubutu au ujasiri wake. Wanamheshimu hata katika usafi wa maisha yake ya ndoa. Lowassa si mla rushwa, kumekuwa hakuna ushahidi wowote ili kuhalalisha madai yoyote yanayotolewa dhidi yake. Hakujiuzulu kama Waziri Mkuu mapema mwaka 2008 kwa madai ya rushwa. Ipitieni ripoti ya Mwakyembe. Kambi ya upinzani tayari imeshaonesha majuto kwa 'Orodha ya Aibu' Bw.Makamba. Wao waliliweka jina Lowassa katika orodha hiyo mwaka 2007 kama sehemu ya siasa dhidi ya CCM.

Siku ya Jumapili, tar.25 Oktoba, Watanzania watafanya historia na kumchagua Lowassa kama Rais wao mpya. Imekwishaamriwa hivyo na Mwenyezi Mungu atahakikisha uchaguzi huru na usiokuwa na wizi wowote wa kura kuwahi kufanyika katika nchi yetu.
 
Tido ni noma.
Alimtoa shoo Sumaye akakiri mara mbili mbili kuwa Ukawa hakuna viongozi wazoefu.
Uliona pia alichomfanya Dr. Silaa siku ile. Duh!

Ya Tido na Makamba ilikuwa tamu sana, maana Makamba anajifanya mjuaji lakini siku hiyo alishiaa kuita ........Tido....Ti...do ....Tido mswalie mtume !nilicheka mpaka nika kaa chini ! hatareee usijipendekeze BBC !
 
Chadema asilia na ukawa asilia tumeshasema na Dr Slaa alishatuasa kuwa Lowasa hatufai kuwa rais. Fisadi kama wanavyosema hawez ingia ikulu.
Kura zet zooooote tunampa Magufuli

Unajua kuna watu wanazani humu wengine hawakuwa ukawa, tulikuwa sanalakini hole iliyosema UFISADI hapana lakini huu ya kushidwa kusema unafanya nini kwenye ufisadi na dunia unaona aibu,
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kanone uko sahihi sana.haonyeshi katika majibu yake kuwa ana nia ya dhati kabisa kuja kuwatumikia wananchi. Anatupotezea muda tu ili mradi ajenda yake ya kushutumiwa ya ufisadi tayari imezikwa. Mission accomplished.
Na ndio maana hakutaka midahalo ili kukwepa mambo kama haya

By JUMA MWAPACHU

Wapenzi marafiki zangu, UKAWA na wafuasi wa Lowassa. Tuna siku tano zimebaki kabla ya kufika siku ya uchaguzi wa hatima ya maisha yetu. Sote tumehamasika na kujawa na nguvu kubwa ya kupiga kura ili kuitoa CCM madarakani. Azimio na msimamo wetu ni kubadili serikali ambayo imeshindwa kubadilisha maisha yetu. Tunahitaji serikali mpya iliyo bora na yenye uwezo wa kutekeleza matakwa na matarajio yetu. Edward Ngoyai Lowassa ndiye kiongozi wa kubadilisha maisha yetu duni; na kuleta nyuso za furaha kwetu na familia zetu. January Makamba amechapisha makala katika magazeti ya Mail na Guardian ya Afrika Kusini akimkashifu na kumtuhumu Lowassa kwa njia za hila na zenye kutatiza kuhusu rushwa.

Sisi si wajinga kiasi cha kushindwa kubaini ujanja wake wa makusudi wenye tamaa ya kupotosha ukweli kuhusu suala la Richmond; na katika kujaribu kukosoa upinzani kwa kumuunga Lowassa kinyume na msimamo wao juu ya Lowassa hapo mwaka 2007. CCM inakosa risasi yenye ufanisi wa kumwangusha chini Lowassa. Wengi wa Watanzania wameamua juu ya Lowassa kuwa Rais wao. Wao hawatapeperushwa au kuongozwa na kashifa za kipuuzi na zisizo za msingi zenye lengo la kupakana matope kutoka kwa wanasiasa wasio na mvuto kama January Makamba ambao bado wanashindwa kuelewa ni kwa nini kamwe wao hawakufanya hivyo katika matarajio yao ya kuutaka urais mapema.

Watanzania wanampenda Lowassa kwa sababu ya kuridhika na uongozi wake, uzoefu na uwezo alionao. Wana imani naye na wanaamini uthubutu au ujasiri wake. Wanamheshimu hata katika usafi wa maisha yake ya ndoa. Lowassa si mla rushwa, kumekuwa hakuna ushahidi wowote ili kuhalalisha madai yoyote yanayotolewa dhidi yake. Hakujiuzulu kama Waziri Mkuu mapema mwaka 2008 kwa madai ya rushwa. Ipitieni ripoti ya Mwakyembe. Kambi ya upinzani tayari imeshaonesha majuto kwa 'Orodha ya Aibu' Bw.Makamba. Wao waliliweka jina Lowassa katika orodha hiyo mwaka 2007 kama sehemu ya siasa dhidi ya CCM.

Siku ya Jumapili, tar.25 Oktoba, Watanzania watafanya historia na kumchagua Lowassa kama Rais wao mpya. Imekwishaamriwa hivyo na Mwenyezi Mungu atahakikisha uchaguzi huru na usiokuwa na wizi wowote wa kura kuwahi kufanyika katika nchi yetu.
 
Uyu Dada kama ametumwa, anemuuliza maswali magumu sana mpaka President anataka kuumbuka.

1Alipoulizwa kwa namna gan atazibiti ufisadi, amekataa kujibu

2. Utatoaje elimu bure akajibu mashangingi mbona yapo ya mil 230

3. Ulishindwaje kutekeleza aya ukiwa ccm kwasababu ulikua kule akajibu ni miaka mingi yaan ni 10.

4.Uliwai kupendekeza aya mambo aya ukiwa ccm ,amekataa kujibu.

Uyu zuhura yunus naona kama ametumwa vile, naona kama kura yng inataka kuondoka ukawa kwenda kwa magufuli.

Mkuu tatizo lililopo siyo hayo maswali mengi hapana ila mfumo wa ccm ndo tatizo sababu hata chadema wanataka katiba mpya ili kudhibiti hayo yote na magufuli suala la katiba yeye yupo kimya tu ula anazungumzia mafisadi je hao mafisadi atawadhihiti vipi kwa mfumo uleule?
 
Siasa zetu za hapa kwetu ambazo wakati mwingine wanasiasa wanawaandaa waandishi wa habari ili wawaulize maswali yakuwapendelea leo imekua tofauti baada ya mh Lowasa kukutana na maswali BBC swahil,
BBC:Mh Lowasa unasema kwamba utatoa elimu bure kuanzia chini mpaka chuo kikuu hizi pesa zitapatikana vp?
Jibu:pesa zipo nyingi tu kwenye gesi,tuna madini....!
BBC:Lakini ulishakua waziri mkuu vp hili lilishindikanaje ukiwa waziri mkuu?
Jibu:Tulijenga shule za kata nyingi sana.
BBC:Lakini elimu haikua bure mh Lowasa?
Jibu:Nadhani unanionea.
mmmmmh!
Kesho atahojiwa Magufuli ndipo watu watatofautisha hawa wawili.
Kimsingi Lowasa ka fail kukutea hoja zake na jibu ni raisi tu kwamba hizi ni ahadi zisizotekelezeka ndio maana anashindwa kujieleza sawasawa.

alijibu vzur tu mbona tatzo ww cjui unafikiria kwa kutumia nn pole ipo cku utamwelewa
 
Umemjibu vyema. Kuna watu wanakuja kuandika vitu hapa kama vile wamemsikiliza wao tu. Hivi kuna mwenye akili timamu anaamini magufuli anaweza kumfunga kikwete? Ccm kweli mtaji wake ni wajingawajinga

Yani kweli kashindwa kujibu maswala ya mwandishi wa habari? ??? Sijawahi ona duniani kote nilipopita eti mgombea urais akashindwa kutoa majibu yake kutoka kichwani tena majibu mepesi kama yale. Anaogopa kwa sababu anajijua hana maadili kabisa. Sasa anatafuta nini
 
ufisadi uko wa namna nyingi huwezi kuuelezea kwa mda mfupi angerecord hata kipindi chalisaa na maswali ampe ili aje aeleze huwezi elezea ufisadi kwa dakika moja
 
Lowasa vision is beyond tons of Ccm Politicians .......Magufuli utaskia ataanzisha mahakama za mafisadi seriously ??? Root cause ya rushwa na ufisadi ni ukosefu Wa mahakama ??
 
Hawezi kukurupuka kupeleka watu mahakamani kisha kesi zinaendeshwa miaka 10 kama alivyofanya JK kesi za EPA miaka kibao, lazima Lowasa awe makini ndiyo Maana kasema ataanza kukomesha urasimu na usumbufu wa rushwa ngazi za chini ambapo kuna watu wengi wanaoathirika na rushwa na usumbufu pia ni kwenye shina la Ufisadi, akimaliza ufisadi wa chini ambao ni Kero kubwa anawaingilia Mafisadi wakubwa kisayansi hataki kufanya kazi kwa kubahatisha.
 
By JUMA MWAPACHU

Wapenzi marafiki zangu, UKAWA na wafuasi wa Lowassa. Tuna siku tano zimebaki kabla ya kufika siku ya uchaguzi wa hatima ya maisha yetu. Sote tumehamasika na kujawa na nguvu kubwa ya kupiga kura ili kuitoa CCM madarakani. Azimio na msimamo wetu ni kubadili serikali ambayo imeshindwa kubadilisha maisha yetu. Tunahitaji serikali mpya iliyo bora na yenye uwezo wa kutekeleza matakwa na matarajio yetu. Edward Ngoyai Lowassa ndiye kiongozi wa kubadilisha maisha yetu duni; na kuleta nyuso za furaha kwetu na familia zetu. January Makamba amechapisha makala katika magazeti ya Mail na Guardian ya Afrika Kusini akimkashifu na kumtuhumu Lowassa kwa njia za hila na zenye kutatiza kuhusu rushwa.

Sisi si wajinga kiasi cha kushindwa kubaini ujanja wake wa makusudi wenye tamaa ya kupotosha ukweli kuhusu suala la Richmond; na katika kujaribu kukosoa upinzani kwa kumuunga Lowassa kinyume na msimamo wao juu ya Lowassa hapo mwaka 2007. CCM inakosa risasi yenye ufanisi wa kumwangusha chini Lowassa. Wengi wa Watanzania wameamua juu ya Lowassa kuwa Rais wao. Wao hawatapeperushwa au kuongozwa na kashifa za kipuuzi na zisizo za msingi zenye lengo la kupakana matope kutoka kwa wanasiasa wasio na mvuto kama January Makamba ambao bado wanashindwa kuelewa ni kwa nini kamwe wao hawakufanya hivyo katika matarajio yao ya kuutaka urais mapema.

Watanzania wanampenda Lowassa kwa sababu ya kuridhika na uongozi wake, uzoefu na uwezo alionao. Wana imani naye na wanaamini uthubutu au ujasiri wake. Wanamheshimu hata katika usafi wa maisha yake ya ndoa. Lowassa si mla rushwa, kumekuwa hakuna ushahidi wowote ili kuhalalisha madai yoyote yanayotolewa dhidi yake. Hakujiuzulu kama Waziri Mkuu mapema mwaka 2008 kwa madai ya rushwa. Ipitieni ripoti ya Mwakyembe. Kambi ya upinzani tayari imeshaonesha majuto kwa 'Orodha ya Aibu' Bw.Makamba. Wao waliliweka jina Lowassa katika orodha hiyo mwaka 2007 kama sehemu ya siasa dhidi ya CCM.

Siku ya Jumapili, tar.25 Oktoba, Watanzania watafanya historia na kumchagua Lowassa kama Rais wao mpya. Imekwishaamriwa hivyo na Mwenyezi Mungu atahakikisha uchaguzi huru na usiokuwa na wizi wowote wa kura kuwahi kufanyika katika nchi yetu.

Ungejitambua usinge Fanya nukuu za majizi hayo, kingunge, mwapachu, muulize kilichomtoa kwenye uwaziri na historian yake, ungekuwa unajielewa ungetafuta nukuu za Dr slaa ningekuona wa maana, ccm b imeshika akili zenu,
 
Lowassa, mwana wa Mungu...!!!

Hekima inamuongoza kila neno, kabla hajafungua kichwa chake kunena, HEKIMA HUMTANGULIA..!!!

Mungu, kashasema ni Lowassa, hakuna wa Kumzuia...!! CCM kamwe hamtaweza shinda uchaguzi huu... hata kwa nguvu zenu za giza...!!!

Lowassa, UKAWA ni mpango wa Mungu..!!
 
Nilitarajia Mzee aseme kuwa nikishindwa nitaweka misingi bora kwa wana ukawa ili uchaguzi ujao 2020 waweze kuchukua nchi nzuuri ya tz
 
Back
Top Bottom