Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Sababu ya kisayansi iliyogundulika kwa baadhi ya akina mama ambao wamekaa kwenye ndoa zao kwa miaka kadhaa bila kupata ujauzito ni kukutana kimwili na waume zao huku mawazo yao yote yako kwa mwanaume mwingine.
Ukiangalia muda ulio anzisha thread hii na zingine nyingi kuhusu Chadema ni mapema asubuhi kwa hiyo fikra za hayo unayoandika unazifanya usiku kucha ukiwawaza hao unaotaka kuwaandika. Ziko taarifa kuwa wewe ni wa viti maalum na unajulikana kuwa ulipata mwenza miaka kama mitatu iliyopita lakini mpaka leo NDOA HAIJAJIBU. Sasa mheshimiwa sana unadhani kweli ndoa itajibu kama kweli jamaa aki pampu wewe mawazo yako yako kwa Edo au Freeman? Mbona utamchosha mtoto wa watu na kisha uje uupate muziki wa mawifi?
Hebu acha kuwaza nini cha kuwaandika wanaume wa wenzio usiku, jikite kwenye game na mumeo ili uje uitwe mama nawe hayo mambo ya kiuvccm waachie wenzako hasa baada ya kupewa kacheo kakwenda "kukaa tu bungeni". Huoni mwenzako Mtela katulia?
wewe ni mmoja wa waathirika wa uliyoyasema.
 
wewe ni mmoja wa waathirika wa uliyoyasema.
Juli wa Anna binti Sho. Nza kuna tabia ambazo zina mu identify mtu kuwa ni mweledi, mjanja, kahaba au vyovyote.
Tabia ya kuwawazia wanaume wa watu usiku na asubuhi kujirusha JF na uzandiki wakati ni mrs inaangukia kwenye identification ya ukahaba.
Kwa kweli tumechoka na tabia hizi na wakati umefika tusifanye JF hasa ukumbi huu wa siasa kama sehemu ya watu kuja na ID tofauti kwa ajili ya kuwachafua watu kwa uzushi na uzandiki. Kama usemayo wayaona ni sahihi kwa nini huji ya verified ID yako? Tutawaweka wazi hata kama wengine wataambulia adhabu, potelea mbali lakini unafiki utakoma
 
Haya ntakuoa utulie.
 
Haya ntakuoa utulie.
Maajabu makubwa.
Kumbe kada wa ccm aliyekuwa Chadema na kufukuzwa kwa tabia chafu ambaye baadae akapewa Ubunge wa viti maalum Songwe harusi yake hakuwa anaolewa bali alikuwa anaoa? Yaani ni mwanamke anayeoa wanaume? (Shemale?)
Kumbe ndio maana kitumbo hakikubali kuvimba!
Uchunguzi ufanyike kwa hivi viti maalum maana tusije kuwa na wabunge wenye tatizo kama la yule mwanariadha wa Afika kusini.
 
Ukipima ubunifu wa Edo na Magufuli. Edo yuko vizuri sana. Nadhani pamoja na nguvu ya usimamizi tunahitaji rais mbunifu wa mambo.
Lingekuwa ni kosa kubwa sana Nchi hii kumkabidhi Lowassa aliyekuwa anautafuta Urais kwa gharama yoyote!! Asante Mungu kwa kutuepusha na huyo MTU na tunakuomba asiibuke tena Kisiasa na 2020 wakikosea kumsimamisha aanguke vibaya!!! Amen!!
 
Utaanguka wewe ndezi.

Hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom