Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
akagombee msoga
Vipi kuhusu mgombea wetu wa ukawa ndio kwanza anaanza siasa nini?Angepigwa na yule anayetembezwa eti kutambulishwa kisha akisimama anasema nitaboresha elimu, nitagawa kanga na mengine ya kikampeni. Nadhani lingekuwa fundisho maana iweje mtu anakuwa waziri miaka 20 halafu hawakujui? Miaka 20 ni mtoto anazaliwa na sasa yuko chuo kikuu.
Vipi kuhusu mgombea wetu wa ukawa ndio kwanza anaanza siasa nini?
Hatuwezi kufurahia vurugu ni siasa za kinyama na kukosa utu pale unapomsha!bulia mt u kwa justification ya kuwa muda wa kampeni bado! M4c na 4u movmt zote ni kampeni za kisiasa za ushindi wa uchaguzi ambao muda wake wa kampeni bado!
Ni roho mbaya tu na kukosa utu unapoamua kumpiga mtu kwa sababu ambazo si za msingi!
Hivi wewe umelala na familia yako mtu anakuja kukugongea dirishani usiku eti unipe kura! Sii anastahili makofi huyo? Asubiri wakati ufike na afuate taratibu za kampeni, sio kufuata watu majumbani usiku.Vipi kuhusu mgombea wetu wa ukawa ndio kwanza anaanza siasa nini?
Hatuwezi kufurahia vurugu ni siasa za kinyama na kukosa utu pale unapomsha!bulia mt u kwa justification ya kuwa muda wa kampeni bado! M4c na 4u movmt zote ni kampeni za kisiasa za ushindi wa uchaguzi ambao muda wake wa kampeni bado!
Ni roho mbaya tu na kukosa utu unapoamua kumpiga mtu kwa sababu ambazo si za msingi!
Chapa kabisa tena nataman ingekuwa faruHahahaha
Mgombie Udiwani wa Ccm Kupitia kiti Cha Chama cha Mapinduzi CCM LOBORA NDARIVOI jana saa Tano usiku amepigwa na Wananchi wa kata ya Themi Arusha Mtaa wa Kambarage akipita usiku nyumba kwa nyumba akiwa anaomba kura. Mwandishi wa Habari wa Hiltop Fm. Ameripoti leo mdaa wa Kampeni unaanza 22/08/2015
we kunguru kweli sasa unataka asipigwe tena huku katoro tunalinda kura kwa mapanga term hii wakichakachua tunaanza na mkurugez na wote wana ccm kila nyumba tunachalanga. mwaka wa kuondoa upuuz nchi hii