DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
"Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa.
"Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita nyumba kwa nyumba, daladala kwa daladala" Alisema Manara.
Je, kitendo cha Manara kuwalipia abiria nauli ni upendo kwa wapiga kura wake au ni rushwa?
Soma Pia:

GE2025 - Haji Manara Aongoza Kwa kura za Maoni udiwani kata ya Kariakoo
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Kura hizo za maoni zilifanyika leo Jumatatu tarehe 4 Agosti 2025, chini ya usimamizi wa chama...
www.jamiiforums.com