GE2025 Mgombea Udiwani ampigia magoti Tulia ili ajenge kituo cha afya

GE2025 Mgombea Udiwani ampigia magoti Tulia ili ajenge kituo cha afya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo jipya la Uyole kwa ujumla, licha ya kumpigia magoti akiomba ujenzi wa barabara za lami katika mtaa wa Mwanyanje pamoja na kituo cha Afya katika kata hiyo..

Kwa upande wake, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia CCM, Dkt. Tulia , amewataka wananchi hao kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kumalizia kazi kubwa aliyoianza kwa maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom