Hao ni wahuni wa Pale Igunga, jamaa zake Dovutwa
ritz na wenzake wapo busy na hii kazi lakini mikojo inawatokaHiv ww ritz hulali, manake 12 asbh niliona post zako,sa hiz saa saba usiku nimetoka kujisaidia nilikuwa nimelala nachungulia humu jf upo! Mzee kwan nape anakulipa ovatime, unakiuka hata sheria za kaz mzee, lala ndugu yangu utakuja pata kiarus bure
mi nafikiri hawa ndo wanacheza na maisha ya watu sio huyu mchizi wa UPDP.Jamaa anacheza na maisha ya watu,pia nahisi ni mvurugaji anafaa viboko 6 vya Nguvu,na hiyo pesa aliyochukulia fomu bora angenunulia machungwa akala
Anafanya mzaha wapi mkuu. Hiyo ndiyo picha ya na hali halisi ya avarage cizten wa wilayani na vijijini. We kama uko mjini na hujai kuspend some time wilayani na vijijini utashangaa. Huyo jamaa hajui tu kufanya maigizo yaani kawa himself na sincere . Kwa kuwa watu wamezoea siasa wanataka wadanganywe wanataka watu wa maigizo.
Huyu anaweza kuwa bora kuliko hata kuchagua wa CCM. Huyu ni aina ya mtu ambaye hata akiwa mbunge bado anaweza kutumia siku hata zaidi 150 kati ya 365 kwa mwaka kukaa jimboni kwake igunga.
Huyu ni aina ya wabunge anaweza asiwe na la kuongea kuhusu Afrika mashariki au kuhusu Mambo ya Nje au kuhusu internet au Viwanda lakini ni mtu ambaye anajua hasa wanaigunga wanataka nini. Sio wanasiasa wa mjini mara nyingi tunafundisha wapiga kura nini wanataka.....
hapo kwa solar panel ndo kumenivunja mbavu..
Pamoja na TBC1 kushindwa kutoa muda wa kutosha kwa habari za Msajili wa Vyama vya siasa na Tume ya Uchaguguzi, wametoa muda wa kutosha kwa Mgombea ubunge wa jimbo la Igunga kupitia UPDP! Huyu jamaa alikuwa anaongea kama wasanii wa Zecomedy na mbaya zaidi anaonekana kama kalewa. Kama si hivyo basi huyu jamaa ni mteja wa Mirembe Hospital!!
Cha kusikitisha zaidi ni jinsi wapuuzi TBC kumpa kichaa airtime yote ile wakati kuna mambo ya msingi sana ameongea msajili au wanakampeni wengine kama kafu na cdmduh....mimi nilimuona nikashindwa kujua lengo lake hasa ni nini....tena mimi nilibahatika kumuona akicheza ndombolo huku yupo chicha.......tutaona mengi jamani....khaa