Sawa unasemaje lakini jamaa kauliza swali hapo mjibuWanasumbawanga huwaambii kitu kwa Magufuli
Ukitaka wakukimbize mseme vibaya Magufuli
Unamaanisha ndio maana mbunge anaomba kura kupitia madaraja yaliyopo Dar na ndege?Wanasumbawanga huwaambii kitu kwa Magufuli
Ukitaka wakukimbize mseme vibaya Magufuli
Kuna uwanja wa kimataifa unajengwa sumbawanga mwaka huu wa fedha yuko sahihi kuongelea ndege pia kuna soko la kimataifa linajengwa sumbawanga la mazao na madini ndege muhimuUkijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli?
Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais alizonunua na jimbo lake wapi na wapi?
Usidanaye wananchi mimi nina jamaa zangu wanaishi huko, Wale wananchi kwasasa hawaipendi kabisa CCM ukitataka kujua hili tazama hata mapokezi waliyompa Lissu alipokwenda huko kuna clip zilitupiwa humu!Wanasumbawanga huwaambii kitu kwa Magufuli
Ukitaka wakukimbize mseme vibaya Magufuli
Usidanaye wananchi mimi nina jamaa zangu wanaishi huko, Wale wananchi kwasasa hawaipendi kabisa CCM ukitataka kujua hili tazama hata mapokezi waliyompa Lissu alipokwenda huko kuna clip zilitupiwa humu!
Wana Sumbawanga wamechukizwa na ubaguzi wa kimaendeleo unaoendelea kufanywa na serikali dhidi ya mkoa huo! CCM ilifanya hila ikatwaa majimbo yote ya mkoa huo, lakini hakuna mbunge yeyote toka huko aliyepewa uwaziri wala naibu waziri! Uwaja wa ndege wa mkoa huo ambao ulitumiwa na Baba wa taifa mwalimu Nyerere mpaka upo vilevile ni kinjia flani chenye vichaka vya nyasi, huku Chato iliyokuwa kijiji majuzi tu ikijengewa uwanja wa kimataifa!
Miaka yote 5 hakuna mradi wowote mkubwa uliojengwa mkoani huko ambao serikali ya awamu ya tano inaweza leo kujivunia na ninafkiri ndio sababu Mgombea wa CCM hajakanyaga kabisa huko! Hata hii miradi ya bandari za Kasanga na Kalema ni miradi ya Kikwete! Alafu leo jitu linaibuka na kusema Sumbawanga huwezi waambia kitu kuhusu CCM! Ni uwongo wa mchana kweupe, CCM ilishachokwa kote!
Magufuli hajaenda sumbawanga kwasababu hapendwi na hakubaliki
Safi kabisa Sumbawanga ni CCM. Je sumbawanga imeendelea? Maana vijembe nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii CCM msipo nireteeeeeeeeeeeaaa msinilaum vimezidi.Wanasumbawanga huwaambii kitu kwa Magufuli
Ukitaka wakukimbize mseme vibaya Magufuli
Unacheka na point badala ya kuleta point! Dalili ya mjinga ni kuchekacheka hovyo! Ungejua kujiongeza ungeacha kufagilia uwongo! Anyway siku hizi hata ukahaba ni kujiongeza!π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Jamaa zako unaandika kama vile eti wamejaza Sumbawanga nzima... hasira zenu za kutopenda kujiongeza na kutaka vya dezo... umeandika upupwu wa karne.. eti kutaka kupinga eeeeh.. jicheke sana.. ena tiki yako moja.. lala nayo.. tulia uone ya 2020.. ulete uongo mwinginevhata mkoa huo hujawahi kanyaga mguu..
Unacheka na point badala ya kuleta point! Dalili ya mjinga ni kuchekacheka hovyo! Ungejua kujiongeza ungeacha kufagilia uwongo! Anyway siku hizi hata ukahaba ni kujiongeza!