Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Sumbawanga kuomba kura za Ubunge kwa kutaja miradi ya Ubungo Interchange, flyover za Dar na ukuta wa Mererani

Mkuu mimi nipo field sina haja ya kukudanganya

Sumbawanga is for Magufuli kuanzia vijana hadi wazee
Acha hizo propaganda tena una dhambi kubwa kuwasemea watu waliopigika kimaendeleo waonekane wameridhika na hali yao wakati kiuhalisia sivyo!
 
Mgombea anashindwa kuelezea kero za jimbo lake humo kijijini, Anawaelezea raha na fahari ya Dar es Salaam
 
Hao wa Sumbawanga wakitaka kwenda kwao Ubungo ndio njia kuu. Mererani madini yakidhibitiwa fedha zinarudi kwa wananchi kwenye miradi mbali mbali ya kijamii. Hapo hakuna tatizo na jee hayo mambo hayajafanywa?
 
Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli?

Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais alizonunua na jimbo lake wapi na wapi? Wagombea ubunge wameshindwa wengi wao kujipambanua wao kama wao kwanini achaguliwe tena?

Mgombea anaomba kura kwa kuaambia nipeni kura nikaungane na Magufuli tukanunue ndege zingine. Wakati huo wananchi hawana maji, halo zao ni mbaya kweli.

Sio mantiki ya kuwachagua wambuge wa CCM.

Naona CCM imechoka hoi ipo taabani kweli, mgombea wa juu, kachoka, wabunge wamechoka, madiwani ndo usiseme. Kazi kwenu wananchi.
Ni jukumu lake kuelezea utekelezaji wa ilani ya CCM kama mwanachama na mgombea ubunge.
 
Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli?

Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais alizonunua na jimbo lake wapi na wapi? Wagombea ubunge wameshindwa wengi wao kujipambanua wao kama wao kwanini achaguliwe tena?

Mgombea anaomba kura kwa kuaambia nipeni kura nikaungane na Magufuli tukanunue ndege zingine. Wakati huo wananchi hawana maji, halo zao ni mbaya kweli.

Sio mantiki ya kuwachagua wambuge wa CCM.

Naona CCM imechoka hoi ipo taabani kweli, mgombea wa juu, kachoka, wabunge wamechoka, madiwani ndo usiseme. Kazi kwenu wananchi.
Hata wanachama wa CCM wenye shida ya maji na ambao ndo wapiga kura nao wamechoka hoi lakini yalivyo majinga hata yale ya Sumbawanga yatakuwa msitari wa mbele kuwapigia kura wagombea wote waliochoka ili Flyovers Dar ziendelee kujengwa na madege yaendelee kununuliwa kukamilisha Chato kuwa Ulaya.
 
Hata wanachama wa CCM ambao ndo wapiga kura nao wamechoka hoi lakini yalivyo majinga hata yale ya Sumbawanga yatakuwa msitari wa mbele kuwapigia kura wagombea wote waliochoka ili Flyovers Dar ziendelee kujengwa na madege yaendelee kununuliwa ili Chato iwe kama Ulaya.
Nipo
 
Back
Top Bottom