Mgombea ubunge kufanya kampeni kwa baiskeli.

Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
660
298
Mgombea ubunge wa chama cha DP anafanya kampeni zake kwa baiskeli. Hivi kwa hali kama hii si afadhali kujitoa maana atafikia vijiji au kata ngapi? Chama kama hiki kweli si bora kisiingie katika harakati za uchaguzi pindipo ikitakiwa kuwa na uchaguzi? Source: radio free habari.
 
Ni sawa tu mwaka 2005 Mwenyekiti wa chama hicho alifanya kampeni ya urais kwa kutumia piki piki akidai atazunguka nayo nchi nzima bahati mbaya iliharibikia Singida na ikawa ndio mwishi wa kampeni mikoani akarudi zake Dsm
 
kama hajaiba ni sawa ,lakini kutumia choper mbili za kuhongwa kama ccm ni udhalimu mkubwa
 
Mgombea ubunge wa chama cha DP anafanya kampeni zake kwa baiskeli. Hivi kwa hali kama hii si afadhali kujitoa maana atafikia vijiji au kata ngapi? Chama kama hiki kweli si bora kisiingie katika harakati za uchaguzi pindipo ikitakiwa kuwa na uchaguzi? Source: radio free habari.
ofcoz chama kama hcho akitufai ikiwez kumpa mbunge baiskel kwa kufanyia kampen, ua akina iman na mbunge wake kama atashinda that way wamempa baiskel ili acmalize fedha za kampen
 
Back
Top Bottom