Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala.
Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na kuwaletea maendeleo