Mgombea atoa machozi

uelewa mdogo tu wewe.
hata asipofanya kitu, tunamtaka kwa ajili ya mabadiliko;
unajua ccm wakiwa wapinzani nchi lazima itaendelea coz of the following.
Tutakua tumetenganisha chama na serikali nkimaanisha rasilimali za umma hazitatumiwa tena na ccm mf. TBC taifa
CCM watakua walinzi wazuri sana wa mali za umma na ufisadi utapungua automatic
Tutakuwa tumejijengea utamaduni mzuri na udhubutu wa kukiwajibisha chama chochote kitakachofanya ujinga serikalin
...... endeleza wewe
 
Umeamua wewe, tena inawezekana hata mkeo yupo kinyume kabisa na wewe. Usiseme tumeamua, sema umeamua wewe mwenyewe.
 
Atakae mpigia kula fisadi Lowasa lazima atakuwa na matatizo ya akili kabisa coz atufai kutuongoza ata kwa bule..
 
Magufuli ndiye kituko zaidi ana taka apewe urais wakati hata tawi la CCM hajawahi kuongoza.

Jamani,wewe unafurahia wamasai wanavyotembea uchi barabarani? Wamasai wamebaki alama ya umaskini. Huyu kama angekuwa wa maana angesaidia kuinua Hall za watu wake. Habari za balozi, hatuchagui katibu wa chama tunachagua raid wa nchi.
 
Inasikitisha , UKAWA hata ubunge mnaanza poteza viti.. Lowassa ulikua ni mtaji mzuri sana kuwaongezea wabunge.

Sasa mnaenda kosa vyote.
 

Aisee, nyie ndiye wajenga hoja wa kuitetea CCM kwa style hii??

Hivi umesahau kuwa ukiwa CCM ni sawa na kuishi ndani ya choo cha shimo kilichojaa kinyesi cha watu wanaojisaidia tangu mwaka 1961??

Tukiopoa mmoja ndani ya choo hicho na kumtoa, no rahisi kumwosha na kupigwa mafuta na pafyumu maridadi akang'aa tena!!

Mkuu toka ndani ya shimo la choo (CCM) lililojaa kinyesi, utaanza kuandika na kufikiri vizuri!!!
 
Hata ccm wakazikiri uchi mabadiliko hayaepikiki kura ni Lowasa tuuu
 
Mmevutishwa bangi na viroba juu!
Miaka 54 CCM haikuwepo.

Ccm Lina kabibi kake Tanu,ni walewale. Yaani, ni bangi au bila bangi,ni LOWASA tu,ebu ni ulize mnadai EL ni fisadi,tuhuma tu! Kwa kuwa hajashitakiwa,tunasema anafaa na ana haki kikatiba kugombea kuwa Rais jinsi alivyo gombea na kuwa mbunge akiwa ndani ya ccm. Tumeamua.
 
Ikulu kuna nn mbna anaitafuta kwa kasi sana hapat kura yangu nampa Magufuri tinga tinga
 
Lowassa ndio habari ya mjini....

Ww kama humpendi Lowassa/UKAWA bas ni mchawiiii
 
Hata Baba wa TAIFA alisema ikulu ni mahali patakatifu na sio sehemu ya kujipatia mali.

Muulize baba Riz na Riz kama hii kauli wanaijua. Pia muulize Mzee lofa kama hii kauli anaijua maana kuna mgodi wetu tunautaka.
 
Inasikitisha , UKAWA hata ubunge mnaanza poteza viti.. Lowassa ulikua ni mtaji mzuri sana kuwaongezea wabunge.

Sasa mnaenda kosa vyote.

Hata ubunge hatuwapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…